Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari Kuna jirani yetu mtaani hii mara ya 3 kila ikifika wiki 1 kabla ya kujifungua anapata presha kubwa kiasi cha kwamba inabidi mtoto atolewe kwa upasuaji na mara zote mtoto ana survive siku 1...
5 Reactions
16 Replies
530 Views
Samahanini wakuu, Ijumaa usiku nilifanya ngono sna na mwanamke mmoja sasa hali imenobadilikia jpil na leo yaan napata Homa kali usiku na maumivu ya kichwa kwa kipindi cha mchana. Pia nimetoka ka...
11 Reactions
50 Replies
1K Views
Salaam Wanajanvi, Tupo katika mapambano na malaria, hasa kuwatokomeza mbu wanaoeneza hayo malaria. Mwenye kujua hebu tujuze kama mchai chai (Lemon Grass) unaweza kufukuza mbu pamoja na wadudu...
2 Reactions
92 Replies
118K Views
Dr Sebi Tells How He Cures A.I.D.S THERE IS ONLY ONE DISEASE MUCUS....... WHERE MUCUS IS THE HUMMAN BODY? According to Dr. Sebi, there exist only one disease which is mucus. He contended...
16 Reactions
212 Replies
42K Views
Habari wana jamvi, Naitwa James Jackson nipo Mbeya. Nina umri wa miaka 28 sasa, tatizo hili nimekuwa nalo tangu utotoni na mpaka sasa siwezi hata kuanzisha mahusiano ya kimapenzi kwa sababu ya...
6 Reactions
239 Replies
25K Views
Habari za usiku Wanajamvi,bila yakupoteza muda ndugu zangu nimuda sasa jamaa yangu anasumbuliwa na tatizo lakutokwa na damu Kila akienda kujisaidia haja kubwa. Tumejaribu kumuuliza ndugu yetu...
11 Reactions
162 Replies
3K Views
Amani kwenu wote. Naomba kushare na ninyi hii dawa ambayo imenitibu kabisa viral infection. Msimu huu na tunaouelekea wa baridi, ukikoswa koswa na seasonal flu ni bahati. Nlialikwa iftar mahali...
6 Reactions
8 Replies
744 Views
fizi zinaliika, meno yanang'oka. ni ni dawa? najua JF Ina kila mtaalamu naomba niishie hapo. ninatanguliza shukrani.
1 Reactions
10 Replies
462 Views
Madaktari ni wiki moja na siku 2 tokea nilipopata choo mara ya mwisho.Nilienda Kwa Daktari nikapewa dozi nikamaliza lakini hamna mabadiliko.
12 Reactions
143 Replies
2K Views
Chuo kilikuwepo zamani kabla ya Kuunguliwa na moto ,Tangu kiungue na moto chuo basi ndo ikawa mwisho ya kuchukuwa wanafunzi na wanafunzi wengine wakahama kabisa sasa kwanini wasikifufue ili...
2 Reactions
5 Replies
338 Views
Shida hii ipo usoni tu na ni baadhi ya sehemu ya uso, ni kama vidoti vyeupe na ilinianza toka 2022. Nimetumia dawa za Mba lakini wapi, nikaenda pharmacy wakaanza kunipa dawa za  Fungus zakupaka na...
2 Reactions
14 Replies
504 Views
Wakuu habari, nilienda hospitali, Ila doctor nilivomuelezea kuwa nahisi maumivu upande wa kushoto wa moyo , walifanya x ray, ila haoni kitu, nikapewa dawa za maumivu nitatumia 2 weeks, akasema...
5 Reactions
68 Replies
2K Views
Habari za Muda huu ndugu zangu. Tusaidiane kidogo kwa mawazo au ushauri kwa yoyote mwenye ufahamu au uelewa wa jambo hili. Kwenye kipindi cha mwezi ww tatu mwishoni nlikua najiskia maumivu...
1 Reactions
36 Replies
39K Views
Habari zenu wakuu, Naomba msaada, nimekuwa nikisumbuliwa na vipele vidogo vidogo katika uume wangu kwa mda ila nilikuwa napata matibabu ya kawaida tu. Sasa mwezi uliopita hali ilikuwa tofauti...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari zenyu kwema? Bwana mwaka huu mama watoto wangu ametokwa na michirizi baada ya kutumia losheni ambayo alikua hatumii mwanzo, inaitwa sitii sijui baada ya kutumia hajamaliza hata wiki 2...
0 Reactions
2 Replies
231 Views
Wakuu nina tatizo la meno kuuma. Meni ya juu upande wa kushoto. Kiukweli maumivu yake sio ya kutisha kama ambavyo watu wakiumwa jino inavyokuwa. Ila ni maumivu ambayo hayakomi hasa usiku. Kimsingi...
0 Reactions
9 Replies
572 Views
Homa ya Nyani: Watoto waathiriwa zaidi na mlipuko wa mpox Maelezo ya picha,Watoto wote wa Nzigire Kanigo wameambukizwa mpox, akiwemo Ansima wa miaka miwiliMaelezo kuhusu taarifa Baada ya Homa ya...
0 Reactions
10 Replies
471 Views
Homa ya Nyani: Kwa nini Mpox inaenea kwa kasi Afrika Mashariki na Kati? Maelezo ya picha,Homa ya Nyani ilianza kwa wanyama kwenda kwa binadamu huko Afrika ya Kati na Magharibi, sasa inaenea...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
Habarini wa Jf imepita sasa takribani week7 na nusu niko week ya 8 baada ya kuishi kwa msongo mkubwa sana wa mawazo kupelekea afya kudhorota na ufanisi wa kazi kuwa mbovu baada ya kuyatimba kwa...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Mimi ni kijana ambae niko mtaani nafanya mishe zangu fresh ila kuna jambo linanitatiza sana, mwenye ujuzi naomba anisaidie. Ni hivi; nina maumbile madogo ya uume mpaka najiogopa. Nimekuwa...
28 Reactions
288 Replies
36K Views
Back
Top Bottom