Habari zenu wataalamu wa afya na wajuaji wa mambo humu
JamiiForums
Iko hivi nina mzee wangu kwa sasa ana miaka 53 sio mzee sana ila ni Bonge ana mwili kama wa hayati mzee wa Lupaso.
Mwaka 2009...
Wadau nina shida na dawa moja lakini nimetafuta kwa hapa Tanzania haipo nataka kuagiza India naomba mwenye connection ya huko anisaidie au kama kuna mtu huwa anaagiza vitu huko anisaidie...
Yani sasa hivi kutokana na haya mapinduzi ya teknolojia imefanya kazi ya udaktari ionekane ni rahisi sana
Daktari wa sasa kila kitu wanaletewa yani vipimo vyote vinapimwa na vinatoa majibu...
Habari wakuu msaada wenu tafdhali,
Nimekuwa na tatizo la thyroids miez 7 sasa niko katika dozi. Hali imepekea kupungua sana kwa nguvu za kiume yaani shemeji yenu nikimuandaa hali uume...
Inaelezwa kuwa karibu watu wote wanaugua Surua na Tetekuwanga kwa nyakati tofauti katika ukuaji wao.
Mara kadhaa nimeshuhudia wazazi wengi wakiwatibu watoto wao kwa dawa za Asili wakieleza kuwa...
Kutokana na mtindo wa maisha niliokua nao (ulevi) nilijikuta kwenye hatari ya kupata maambukizi ya VVU mara nne baada ya kufanya ngono zembe au kupata ajali ya kinga kupasuka etc. Kila baada ya...
Natumaini Jumapili ya Leo ni njema kwenu nyote ndugu, ni jambo la kushukuru.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni mpenzi wa muziki sana, napenda kusikiliza na kutengeneza muziki. Sometimes...
1. Kusaidia Kutoa Gesi na kinyesi: Kujamba husaidia kutoa gesi na kinyesi ambazo mwili umekusanya, na hivyo kusaidia kuzuia matatizo kama vile uchungu au kuhisi kukojoa mara kwa mara.
2. Kusaidia...
Wakuu naomba kuelewa kwa yeyote anayejua au kushudia matibabu ya Tezi dume bila upasuaji na mgongwa kupona kabisa na hayo matibabu yanapatikana wapi?
Nitafurahi zaidi...
Katika sekta ya afya kuna mtaalamu Professor Janabi, ambae mara nyingi anaponda ulaji wa misosi ya kawaida lakini hadikiki akikemea dhidi ya bidhaa hafifu ama bidhaa haribifu kwa afya ama kutoa...
Kuna hii hali masikio kupiga kelele kama vile kengele, muungurumo, etc
Inaweeza kuambatana na masiko kuuma, pressure masikioni, kichwa kuumwa, etc.
Kama uliwahi kupatwa na hili janga ukapona...
Habari zenu wakuu..
Kama kichwa kinavojieleza, kisayansi na kibaiolojia virusi wanasifa ya non living pale wanapokuwa nje ya seli ya kiumbe mwingine(host) na wanaweza kukaa muda mrefu bila kuwa...
Nipeni mawazo na msaada wenu,
Nimetembea na wanawake zaidi ya 8 bila kinga, lengo ni kutafuta mtoto lakini cha ajabu hakuna hata mmoja niliyempa mimba.
Tatizo ni nini wanajamii
Tarehe 10/04/2024 nilikutana kimwili na mpenzi wangu ambae sikuwa nae kwa muda nilikuwa safarini.
Nilipokutana nae sikutumia kinga kwan ni muda mrefu sana nilipima nae na tulikuwa negative...
Wazee wa kuzingatia "Angle" uzi huu unawahusu.
Serikali yetu kupitia wizara ya afya imekua ikitumia jitihada kubwa sana katika kuhakikisha maambukizi ya VVU yanapungua nchini. Moja ya jitihada...
Habari wakuu, nimekua na tatizo la kupigwa shoti mwilini hasa nishikapo materials tofauti(kasoro plastic) bt aluminium,chuma bt hata vitasa vya gari au gari yenyewe, hali hii hunitokea mara moja...
Tumesheenda hospitali mara 3 ila na kupewa madawa ya allergy, topical creams na sabuni, dawa za mchafuko wa damu ila bado hali hii inajirudia.
Vipele vipo kwapani na miguu
Karibuni wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.