Ipi ni tiba sahihi kutibu tatizo la uume kelegea mbali na hizi dawa za asili zinazotrend sana mtandaoni?
Sent from my 23028RNCAG using JamiiForums mobile app
Kimsingi kulia ni jambo linalofungamanishwa na HISIA. Na mara zote si LAZIMA iwe ni huzuni tu hata katika Furaha ya dhati huwa tunatokwa na machozi. Na hii utaiona Kwa wanyama wote kwani wao pia...
Wakuu poleni na Majukumu na tuendelee kupambana, nimekuja kwenu kijana wenu nipate msaada wa changamoto inayonisibu kwa sasa.
Nmeugua vidonda vya tumbo tangu mwaka jana nligundulika baada ya...
Habari wana JamiiForums.
Nimekuja mbele yenu kuzungumza na wale wenye tatizo la tumbo kuunguruma, Mimi ni moja wenu na tatizo hili limenisumbua kwa muda sasa lakini hivi karibuni nimepata nafuu...
Masturbation ina faida kadhaa kwa afya na ustawi wa mtu binafsi, lakini ni jambo la binafsi na inaweza kuwa na athari chanya na hasi pia. Kwa hivyo ni vyema kutambua faida zake na kuishi katika...
Madaktari wa jamii forum na wengine wenye uelewa wa maswala ya afya kwa ujumla wake.
Kuna mtoto wa ndugu yangu ana huu ugonjwa wa sicle cell unamsumbua sana kila baada ya muda anarudi hospital...
Habarini wapendwa, naombeni msaada wenu, kipindi cha nyuma mimi niliwahi kusumbuliwa na tatizo la umeng'enyaji chakula, nilikuwa najisaidia choo kigumu sana, nikaambiwa na doctor kuwa nina tatizo...
Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nilipata shida miezi miwili iliyopita nilikuwa nasikia maumivu kwenye tumbo upande wa kulia kwa chini. Baada ya kwenda kupima niligundulika nina...
SABABU ZA MWANAUME KUKOSA MBEGU ZA UZAZI
TATIZO la mwanaume kukosa mbegu za uzazi kitaalam huitwa ‘azoospermia’ au ‘medical condition’. Ni tatizo linaloathiri wanaume wa rika tofauti.
Katika...
Wakuu habari zenu
Nahitaji kumnunulia kijana mmoja neck support (nimeattach picha). Alipata ajari sasa shingo ameambiwa na madr inatakiwa apate neck support na kwao hawako ok at the moment...
Fenesi: Ulijua kuwa tunda hili linaweza kutibu aina tatu ya saratani na maradhi ya moyo?
Fenesi au kwa jina la kisayansi (Artocarpus heterophyllus) ni tunda la kitropiki ambalo hukua Asia, Afrika...
Wakuu nasumbuliwa na korodani lakin kila nikienda hospital hawaonj. Wanaishia kupiga ultra sound na kunipa ant pain.
Lqkin mm naamini ugonjwa upo maana tqtzo lilianzaga na UTI. baadae ikafika kwa...
Ni 23 yrs natarajia kuanza kutafuta mtoto lkn nimekuwa Kuna hisia zinanifanya nipate wasiwasi juu ya kiumbe nitakaemleta duniani..swali je can the ugly parents have beautiful babies?..sikuamini...
Ni zaidi ya Miaka 10 sasa naona hizi Product zao lakini nimekuwa naogopa sana kuzitumia.
Naomba ushuhuda kwa mliowahi kuzitumia kama ziliwasaidia?
Na Je zimethibitishwa na Mamlaka husika?
Mambo vipi humu ndani aisee sijui ugonjwa gani huu umenipata yaani ikifika mida ya kulala kuanzia saa 3 usiku ngozi ya mwili mzima Inawasha balaa Hadi kupelekea kujikuna Kuna ovyo usiku kucha...
Habari JF Doctor na wana jamii wote.
Mdogo wangu wa kiume (23yrs) ana tatizo la kuwashwa mwili mzima tokea mwaka 2002. Nimezunguka naye takribani hospitali zote kubwa hapa Dar lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.