Watoto huzaliwa wakiwa na uwezo wa kunyonya bila kufundishwa (sucking reflex). Kitendo hiki ni muhimu sana kwasababu ndiyo njia pekee ya kumpatia chakula mtoto mdogo. Sayansi imeonesha kwamba...
Vipimo vinavyotumika mara nyingi sana kupima HIV/VVU ni aina ya HIV antibody tests, changamoto ya vipimo hivi ni kuwa kinahitaji mtu awe amepata maambukizi angalau miezi mitatu nyuma kabla ya...
Picha kwa hisani ya Google
Kuota matiti kwa mwanaume (Gynecomastia) ni kuongezeka ukubwa/ujazo wa matiti kwa mwanaume. Hutokana mabadiliko ya viwango vya homoni za kiume (Testosterone) na homoni...
Habari
Mwenzenu ugonjwa huu wa mafua unanitesa sana mpk imekua kero kwangu
Mara nyingi nikiupata unanifanya mdhaifu sana yaani homa kabisa mpk wakati mwingine nahisi kama nakufa
Sikumbuki...
Habari,
Kwa Sasa napitia wakati mgumu nina matatizo binafsi nahitaji msaada wa kisaikolojia nitamlipa.
Nipo kKgamboni naomba mnisaidie
Pm kuko wazi.
Msinijibu ovyo mtaendelea kuniumiza
Nikitembea tu kidogo jasho kibao hata kama kuna baridi vipi. Mfano kukiwa na baridi yani ile baridi haswa naweza nikatembea fresh tu ila nikifika tu sehem nilipokua naelekea labda dukani au sehemu...
Habari wana jamii
Nasumbuliwa na tatizo la fangusi kwenye korodani na nilipata baada ya kukutana na mwanamke mwenye tatizo hilo apo ndipo nilipoaanza kuwasha mikono na mapajani sasa hivi...
Habari zenu wana JF, samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kuwa mficha uchi hazai.
Since mwezi wa nne nasumbuliwa na hili tatizo nimetumia dawa nyingi sana ant fungus...
Kuna dogo hapa ni mkurya wa kwanza kutokula nyama ya ng'ombe (haha natania lakini)
Sasa dogo alikuwa anakula nyama ya ng'ombe alipokuwa mtoto mdogo hadi pale siku moja alikuta ng'ombe alikuwa...
Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume.
Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa...
Habari zenu wakuu?
Mie nimekuwa nikiwaza uhusiano uliopo kati ya kunywa maziwa na kupunguza vumbi ulilovuta,utasikia ukifanya kazi ktk eneo lenye vumbi kunywa maziwa.
Please wadau i need to know...
Siku moja nyuma nilikosa maji Fresh kwaajili ya kunywa, kutokana na hali ya Dar es laam upatkanaji wa maji ya chumvi ni mkubwa sana ikanibd niyatumie kama sehemu ya maji ya kunywa kitendo ambacho...
Kuna vipimo vya kimaabara vya kubaini hayo? Vinapatikana kwenye hospitali zipi, kubwa tu au hata vituo vya afya?
Mara nyingi watu wamesisitizwa kula matunda na mboga za majanikwa wingi kwa kuwa...
Habari za saa hizi wadau wa JF?
Niende moja kwa moja kwenye hitaji langu.
Ni kwamba mke wangu anasumbuliwa sana na kichwa kuuma kwa miaka zaidi ya 15 sasa mwanzo walikuwa wanasema ni ugonjwa...
Ikitokea sijafanya mazoezi (mfano ya jogging) angalau mara mbili kwa wiki, mwili huniwasha unapokumbwa na mtikisiko.
Mfano: kama sijafanya mazoezi angalau mara mbili kwa wiki, siku nkifanya...
Picha kwa hisani ya Google.
Madoa meusi kwenye meno ni hali ya upotevu au kutokuwepo kwa weupe wa kawaida wa meno, hivyo meno kuwa meusi au hata kahawia. Madoa meusi kwenye meno husababishwa na...
Kuna kitu kimejificha kwenye hili kati ya Pharmacy Council na wamiliki wa DLDM (Maduka ya Dawa Muhimu), Kwa nini mpaka leo dawa za antibiotics zinauzwa tu kwenye DLDM licha ya katazo?
Wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.