Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Tinnitus, ni Tatizo la masikio kupiga kelele, mtu husikia sauti za makelele au kitu kinaita(ringing) ndani ya sikio moja au yote mawili na sauti hizo hazitoki nje na wala hakuna mtu mwingine...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
KUPOOZA KWA USO UPANDE MMOJA HUENDA KUSIPONE UKICHELEWA KUPATA MATIBABU SUMMARY Mshipa wa fahamu, facial unaposhindwa kufanya kazi vizuri matokeo yake ni misuli ya uso inayoratibiwa nao...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu hatari za UKIMWI ikilinganishwa na magonjwa mengine makubwa kama figo kushindwa kufanya kazi, kansa, na kisukari. Watu wengine wanadai kuwa UKIMWI si hatari sana...
3 Reactions
6 Replies
452 Views
Mimi ni mwanamke, 30 yrs mwenye usonji. Jamii/familia yangu wanaona sina tatizo sababu shuleni nilikuwa nafaulu vizuri. Ninapitia changamoto nyingi mnoo. Kuna wakati nahisi kukata tamaa...
11 Reactions
81 Replies
4K Views
Habari wana jamvi heshima kwenu, naomba kujuzwa dawa ya VISUNZUA ili kuviondoa utumie dawa gani? Karibuni mkuu MZIZI MKAVU na wengine.
5 Reactions
51 Replies
57K Views
Habari wataalamu, huwa nasumbuliwa sana na Acid tumboni hivyo kusababisha kujisikia hali ya tumbo kuwaka moto, mwaka jana mwanzoni kuna mtu alinishauri nitumie dawa fulani inaitwa Ranitidine...
1 Reactions
20 Replies
9K Views
Ndugu zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25. Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua...
10 Reactions
85 Replies
3K Views
Habari za Muda Huu waungwana, Kwa wale Mliowahi kupata Watoto, mkawakuza mpaka Wakakua na afya njema, Mlizingatia mambo yapi Pindi walipozaliwa? Mimi niliwahi kupata mtoto, Bahati mbaya...
6 Reactions
42 Replies
1K Views
Wakuu naandika hapa ila kichwani niko confused sana, Dadangu aliondoka hom zaidi ya miaka 20, akaenda huko Dar es salaam katika harakati zake na tulipoteana, Kwa baadae kabisa tukapata kuwasliana...
1 Reactions
10 Replies
864 Views
Habarini wakuu! naomba kujuzwa gharama za kipimo cha MRI na CT- scan, nataka kufanya kichwani. Natanguliza shukurani zangu za dhati kwa wanaJF.
0 Reactions
5 Replies
14K Views
Wakuu habari zenu, nimekuwa nikisumbuliwa na kichwa at least once and at most twice a week. Baada ya kuona hilo tatizo nikaamua kujisogeza hospital kwa ajili ya vipimo. Baada ya kufika hospitali...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Itifaki ikiwa imezingatiwa. Kumekuwa na ongezeko kubwa la verbal clinics mijini, herbal clinics hizo zinanadiwa sana kuwa zina uwezo wa kutibu magonjwa lukuki. Je zina ufanisi? Changia uzoefu wako.
0 Reactions
22 Replies
641 Views
Habari ya leo! Niko hapa kukusaidia wewe mwenye ugonjwa sugu. Kama una ugonjwa wowote ambao umehangaika nao kwa muda mrefu na umepambana sana kutafuta tiba mbalimbali na bado hujafanikiwa...
11 Reactions
82 Replies
4K Views
Huyu dada tangu amepata ujauzito wangu, amekuwa ni mtu wa kubagua vyakula; hataki kula mchicha, chainizi, tembele, bamia, nyanya chungu, yaani mboga za kuota shambani hataki. Yeye anataka...
2 Reactions
9 Replies
424 Views
TIBA YA HOMA YA INI NI IPI? Ndugu zangu, Wanajukwaa wenzangu Kuna Ndugu yangu amekuwa akisumbuliwa na Maumivu ya Mbavu za Kulia pamoja na Kukojoa Mkojo wenye rangi ya Kahawia na Kutokwa na Jasho...
3 Reactions
30 Replies
7K Views
Habari wapendwa, tafadhari anayejua namna ya kuondoa visunzua usoni vile vinyama vinavyoota usoni vyeusi real vinakela Sana. Pia ningefurahi endapo ningepata chanzo chake. Shukrani kwenu.
2 Reactions
33 Replies
23K Views
Wakuu habari zenu. Leo ilikua siku yangu ya mwisho hapa duniani ni vile tu Mungu hakupanga.Ipo hivi 👎 Jana katika pitapita zangu humu j.f nikakutana na uzi ukisema juisi ya vitunguu swaumu na...
12 Reactions
76 Replies
3K Views
1.Kuna chakula/tunda unalolipenda zaidi? Jiwekee zawadi, kwamba ukiamka asubuhi tu cha kwanza ni kula chakula hicho/ tunda/ chokleti nk. Hii itakufanya Utoke kitandani pale tu utakaposhtuka...
6 Reactions
28 Replies
11K Views
MUME WANGU KINYESI KINAMTOKA KILA SAA NA NDOA INA MIEZI MIWILI Naomba unisiadie Kaka maana sijui nafanya nini[emoji24][emoji174], niko kwenye ndoa ina miezi miwili sasa. Mume wangu kabla ya...
4 Reactions
38 Replies
1K Views
Unapata matibabu ugonjwa haundoki mwilini kwa muda mrefu.... Unaweza ambukiza kijiji kizima kabla hujaanza kuona madhara yake... Unaweza ng'ooka mjegeje au kupukutisha Kipochi manyoya chote...
45 Reactions
407 Replies
16K Views
Back
Top Bottom