Nimeshauriwa muda mzuri wa kutahiri watoto ni wakati wa baridi na sio wakati wa joto. Je ni kweli?
Kwa hapa Dar es salaam ni mwezi gani mzuri wa kutahiri mtoto( mwezi wenye baridi).
Asante sana
Chunusi ni tatizo la ngozi linalosababisha vipele na madoa, na mara nyingi huwa na maumivu. Changamoto hii inaweza kuathiri watu wa umri wowote na huwa inasababishwa na mambo kadhaa. Sasa, hebu...
Kuna miaka ilikuwa mtoto akionekana mbishi wa kula, amezubaa zubaa au goigoi sana wazazi wanaambiana inawezekana ana minyoo na mara moja atapewa dawa za minyoo bila hata kumuona daktari, ila...
Naitwa Dr. Elizabeth Kilili, a.k.a. Mama ZOAZOA, ni mkurugenzi wa Grace Products Limited. Leo nina somo fupi ambalo nataka tuangazie afya ya mama pamoja na mtoto, nikizungumzia kitu kinachoitwa...
Course gani inahusika na mambo ya chanjo ( vaccine) ? , but nina diploma ya nursing nahitaji kusoma level ya bachelor ila nimeajiliwa halmashauri nahitaji kujiendeleza.
Kama utakuwa na uelewa...
Nyakati za usiku, wengine ni uvivu kuinuka kwenda chooni kujisaidia haja ndogo, baadala yake wanatumia kopo, ndoo au chupa kujisaidia haja ndogo.
Swali langu lipo kwenye hawa wanaotumia chupa...
Habari,
Yapata mwezi sasa nimekuwa nikikumbwa na tatizo la kuwashwa mwili kama nimemwagiwa upupu, hasa mida ya saa tatu usiku ambapo mambo yanakuwa mabaya zaidi na najikuna vibaya mno. Mwanzo...
Hivi unapopima kwenye mshipa mkubwa wa damu mkononi unacheki magonjwa gani? Nimeenda na mtoto kumpima eti kila kipimo kina bei yake, maana nimeenda kumpima U.T.I, Typhoid na Malaria
Je kila...
Habari za Leo wanajamii forum, naombeni nisaidiwe kwa hili.
Nina kazi ya kukaa muda mrefu kwenye kompyuta (Coding Developer), na katika kipindi kifupi kilichopita, nimeanza kusumbuka na maumivu...
Habari wakuu, Kama kichwa habari kinavyo eleza ya kuwa waafrika na waasia hawawezi kunufaika kiafya kwa kunywa maziwa.
Kwa utafiti uliofanywa na chuo kikuu Cha Cornell kimegundua ya kuwa watu...
Wapendwa nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo,,wapendwa me naumwa kiuno kimenisumbua sahizi Kama miezi miwili sasa.
Umri miaka 29
CHANZO CHA TATIZO:
Siku moja usiku nilikuwepo nyumbani basi nipo...
Kwa ninavyokuelewa ni kwamba jambo hili husababishwa na maumivu makali kama ya tumbo au kichwa lakini pia maumivu ya mgongo ambayo hupelekea kupanda kwa dopamine
Habari wanajamvi,
Kumekua na malalamiko katika familia nyingi sana kuhusiana na jinsi₍ jinsia₎ ya watoto.Waweza kukuta mzazi anazaa watoto wa kike tu au kinyume chake hii inapunguza furaha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.