Nimekuwa nikiona mara kadhaa inabidi mtu anywe lita 1 ya maji au zaidi kwa siku ili kulinda afya, kwangu hali ni tofauti.
Kwa muda mrefu nimekuwa nakunywa mai pungufu ya robo lita
kazi yangu ni...
Habari wakuu!
Nina mtoto wangu wa kiume kwa sasa yuko na umri wa mwezi mmoja na wiki moja. Dogo huwa analia sana wakati wa usiku hasa kuanzia mida ya saa nne usiku hivi. Siku kadhaa ilikua kulia...
Habari wadau,Naomba msaada kwa anayejua dawa ya kutibu ugonjwa wa vipele mwilini hadi sehemu za siri maana imekuwa ngumu mwanangu wa kiume kupona tatizo hilo,ametumia dawa nyingi sana za hospitali...
Naomba kujua dawa gani nzuri kutibu hili tatizo Korodani zinapukutika na kuwasha. Pia kutoa harufu mbaya ambayo siipendi
Nimejaribu kuoga na kujisafisha vizur lakini wap
Salamu kwenu wakubwa zangu.🙏
Wakuu nina changamoto ya kifamilia, kiafya zaidi na ninaomba msaada kutoka kwenu.
Mimi ni mwanafunzi wa elimu ya sekondari ya juu ninaishi na mzee (baba), wadogo...
Kamba ya kitovu kumzunguka mtoto shingoni kabla ya kuzaliwa (nuchal cord), matatizo yanaweza kujumuisha shida ya kupumua, na kuzaa mtoto aliyekufa.
Kamba ya kitovu inaweza kumzunguka mtoto kwa...
Habari wa kuu! Samahani nina jambo huwa linanipa Shaka kwenye mwili wangu je ni kinga kuwa nyingi au kuna kitu kinaendele. Mwilini mwangu sina chanjo yoyote na sijawahi kuchomwa sindano ya dawa...
Leo nimemsikia Mkuu wa kitengo cha damu salama wa hospitali moja ya serikali Dar es Salaam akisema ikiwa mwanaume ana damu +ve na mwanamke ana damu -ve (au vinginevyo) hawawezi kupata mtoto na...
Habari zenu Naombeni msaada ndugu zangu Nina tatizo la miguu kuuma kwenye visigino
Nikikaa muda mfupi bila kutembea nikiinuka tuu nianze kutembea miguu inauma sana nashindwa kukanyaga chini pia...
Habari wan JF,
Leo nimetafakari na kuamua kuandika uzi wa kuhusu maswala muhimu kidogo kwa wanandoa/ wanao tegemea kupata mtoto.
Jambo moja wapo ambao linatia furaha katika maisha ya...
Nimeanza kupata dalili za genital warts sehemu za siri kwenye shina la uume kuota vinyama (visundo sundo vidogo), nimejaribu dawa lakina bado sijapata matokeo mazuri.
Je, ni dawa gani inaweza...
Salam.
Dunia ikiwa imetoka kushuhudia gonjwa hatari ya homa ya COVID -19 sasa hivi kumezuka tena ugonjwa hatari wa wa homa ya nyani (Monkey Pox)!
Ombi langu kwa serikali kupitia wizara ya Afya...
Awali ya yote, ningependa kuelezea maana ya neno “homa” kitaalamu, maana naelewa kuwa, kuna maana nyingi sana za neno hili ki-mtaani mtaani. Kitaalamu, maana ya homa ni hali ya mwili kuwa na joto...
Wanajamvi i hope mpo poa, kuna njia ya uzazi wa mpango inaitwa withdrawal, unapokaribia kufika kileleni unauchomoa uume na kumwaga manii nje ya uke, sasa kwangu hii njia imekua complete failure...
Bila shaka umewahi kuwasikia wataalamu wa afya wakisisitiza umuhimu wa wenza kufanya vipimo mbalimbali kabla ya kuamua kuwa pamoja kwa ajili ya kutengeneza familia (kuzaa).
Moja ya vipimo...
Habari wakuu
Nina kidonda kwenye kidole kina siku 12, nilikipata baada ya kwenda kutibiwa Bawasiri clinic za Wakorea.
Unakiwekea dawa ya kuchoma moto ktk kidole mara Saba nichome kwa siku tano...
Habari zenu,
Naomba kuuliza kama kuna kuna anayejua shida hii ya miwani
Nimemnunulia mtoto MIWANI lakini kavaa wiki tu leo hii Anavaa umekuwa kubwa yaani inamvuka has wa akiinama., nitumie...
Nyie wataalam ni waongo mlionishauri mazoezi ati nitapunguza kilo kumbe ni uongo tu, badala ya kupunguza naongeza KGS
Najituma sana mazoezini, namwaga jasho ili nikate weight ila naona KGS...
FAIDA YA TUNDA LA FENESI KWA AFYA YA MWILI WAKO NA NGOZI.
Najua unalijua fenesi, pengine unakula bila kujua faida zake au hujawahi kula kabisa. Fenesi linaweza kuwa tunda ambalo halina washabiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.