Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu sijui siku hizi nimepatwa na shida gani maana ninaposhiriki tendo la ndoa sipati msisimko kabisa ninapofika kwenye mshindo/ ninapomwaga/ ninapofunga goli. Yaani ninaweza kuanza tendo vizuri...
5 Reactions
121 Replies
2K Views
Wakuu kuna group liko fb la watu mbele wanatumia hii dawa kujitibu cancer watu wengi wanatoa ushuhuda piteni mcheki kama mtu ana mgonjwa inaeza msaidia
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Wakuu habari.. mtoto wa miaka miwili na nusu anakalia mgongo kulingana na changamoto za ukuaji anazopitia kama nilivowahi kueleza hapo awali. Ombi langu wataalamu hasa physiotherapist hii hali...
4 Reactions
4 Replies
182 Views
Mjadala... ------------ Sehemu kubwa ya jamii ya kitanzania inaamini kwamba ugali unaopikwa kwa kutumia unga wa dona ni bora kuliko ugali unaopikwa kwa kutumia unga wa sembe! Je! Ni kweli? Twende...
31 Reactions
174 Replies
42K Views
Ndugu wanabodi nina swali hapa. Japo muda umeenda ila Nimeshindwa ling'amua kuhusiana na mzunguko wake ameniuliza ila nimeona nitafute wajuvi wa wanisaidie. Mzunguko wake ni wa siku 28, ila bleed...
1 Reactions
4 Replies
317 Views
Habari jamani naomba msaada. Mimi ni msichana nasumbuliwa na matatizo ya uzazi nimetumia Dawa nyingi za hospital lakini bila mafanikio na zamitishamba pia hakuna matokeo ila yanakujaga kidogo...
5 Reactions
53 Replies
3K Views
JF members naomba msaada wenu ili niliweza kutatua tatizo hili, mara nyingi nakula na kushiba usiku lakini ikifika majira ya saa nane usiku au asubuhi najisikia njaa sana. Msaada please..
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Mara nyingi tumbo langu huunguruma kama vile mtu anajamba,wakati mwingine nipo na watu basi ni aibu,hii inasababishwa na nini?
9 Reactions
51 Replies
1K Views
Ulishajiuliza inakuaje mtu hasa mwanaume anafia guest tena akiwa na mwanamke? Unadhani hua kinatokea nini mpaka wanakufa? Asilimia kubwa ya visa vya wanaume kufia vifuani hutokea pale mwanaume...
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Habarini wadau, nina mtoto wangu now anamiaka miwili ila tangu kukua kwake amekua kila akicheka sana anapata kwikwi, shida itakuwa nini?
4 Reactions
11 Replies
273 Views
Wakuu habari . Nilileta Uzi kuomba ushauri na namna sahihi ya kumsaidia mke Wangu ambaye alionekana kuwa na shida ya Akili yeye Pamoja na binti yetu. Watu walishauri nimpeleke kwenye maombi...
5 Reactions
12 Replies
600 Views
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa. Utafiti wa kisayansi uliofanywa na SUA, umebaini kuwa...
8 Reactions
333 Replies
70K Views
Hivi vipele nimeviona asubuhi sijui ni nini? Haviwashi Haviumi Naomba kujua vimetokeaje kwenye uume wangu na nifanyeje kuviondoa?
4 Reactions
237 Replies
8K Views
Habari wana JF. Jana bana nilienda ugenini kusalimia, tukachoma na kula nyama pori sana sasa balaa lei nimeamka najamba sana halafu mashuzi yananuka, kuna mwamba hapa kanishauri eti nice pilipili...
4 Reactions
20 Replies
453 Views
Ndugu zangu, Naomba msaada wenu. Mpenzi wangu, ambaye yuko mbali na mimi , alikuwa na ujauzito wa mwezi mmoja na wiki mbili. Ijumaa iliyopita alienda hospitali akiwa ananyesha na kuambiwa kwamba...
6 Reactions
78 Replies
921 Views
Miaka kama mitatu sasa nimekuwa nakojoa mara kwa mara , nikichukua mkojo wa asubuhi nikiuweka kwenye chombo kisafi kinachoonekana humo ni mkojo na uteute , nimekwenda hospital kupima magonjwa haya...
3 Reactions
15 Replies
558 Views
Mgongo na kiuno vinanisumbua x ray nimepiga nimeambiwa sina tatizo ila napata maumivu kwenye pingili ya mgongo na kiunoni haswa nikiinama au nikikaa muda mrefu nimefanya matibabu ya pyhixio lakini...
1 Reactions
26 Replies
967 Views
Mwili kikawaida huwa una njianzake pekee za kujilinda dhidi ya vitu mbalimbali(defense mechamism). Mtu akipaliwa na punje ya wali atakohoa na hakuna anayezuia kwamba usikohoe kwa sababu kukohoa...
3 Reactions
14 Replies
434 Views
Leo, Muda huu naandika huu uzi, kuna dada huwa anatuuzia chai kila ahsubuhi. Kaja ofisini kwake, lakini anadai anasikia homa kali, nilipomwambia aende kufanya vipimo akasema tatizo analijua. Eti...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
habarini wana Jf,kuna mdogo wa mke amepata ugonjwa wa ajabu amekuwa ananyonyoka nywele kama mnavyoona yeye ni umri wa miaka 13 ,je huu ni ugonjwa gani tiba ni ipi.
0 Reactions
7 Replies
414 Views
Back
Top Bottom