Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ukiwa kwenye mechi (kula mahaba), halafu wakati wazungu(sperm) wanakuja ukatolea nje kwa lengo la kuzia mimba. Je kufanya hivyo kuna madhara gani kiafya na kimahaba? Mwenye kujua anijuze.
0 Reactions
47 Replies
14K Views
Ni kwamba uvutaji sigara ni hatari kwa afya ya mvutaji na watu walio karibu na mvutaji pindi anapovuta sigara.Na najua ni kosa mtu kuvuta sigara katika mkusanyiko wa watu wasiovuta na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Please doctors nahitaji msaada,nina tatizo la gesi kujaa tumboni kupita kiasi as a result tumbo linatoa muungurumo. Hospitals nikienda napewa dawa za minyoo they never help and even if they did ni...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Eti wakuu kati ya hizo Mbili ipi ni Nzuri kwa kuisoma..
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeisikia hii aina mpya ya matibabu, nasikia kwamba wanatibu kwa kugusa baadhi tu ya sehemu za mwili. Naomba anayefahamu sehemu yoyote Dar ninayoweza kupata tiba hii anisaidie
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je tatizo la gesi tumboni linaathari kwenye nguvu za kiume?
0 Reactions
8 Replies
14K Views
Heart Attacks And Drinking Warm Water This is a very good article. Not only about the warm water after your meal, but about Heart Attacks. The Chinese and Japanese drink hot tea with their...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
I have got this feeling. Whe i see a pregnant woman i feel soo incredible. Nadhani wanapokuwa wajawazito kuna hornnes fulani ambazo huwabadili mpaka sura, basi hii inanifanya niwaone so noble...
0 Reactions
2 Replies
999 Views
I got a call from a friend of mine and she says her period is two weeks late. Sasa-anaomba dawa yoyote itakayo mletea period!! when she called me alikuwa anacheka cheka kama vile what she is...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani wana jamii kuna mtu hapa kila baada ya kuoga kama baada ya nusu saa ananuka mapumbu na kutoa ukoko kwenye pumbu nini tatzo?
0 Reactions
16 Replies
10K Views
Habari,ningependa kufahamu dalili za kuwa na uvimbe kwenye titi
0 Reactions
5 Replies
11K Views
PLEASE IF YOU DECIDE TO DIE, DIE OF ANYTHING BUT IGNORANCE. STOP CHEWING CHICKEN BONES BECAUSE APPARENTLY THE POISON LIES IN THE BONE MARROW. I THINK I HAVE DONE MY DUTY BY SPREADING THE...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wana jamii wenzangu habari za usiku? Mm nilikuwa naomba mnielekeze sehemu ambapo naweza kununua jino la bandia maana sijui huwa wanauza wapi. Asanteni sn.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
AFYA YAWABABA! “Wanaume tujue Prostate yetu”. Kwa nini tujue? l “Kufahamu Ugonjwa kutasaidia kujizuia” l “Kujua ugonjwa ni NUSU ya Tiba” Tezi la Prostate: Ni tezi la mfumo wa uzazi wa mwanaume...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Aslam aleykum ma dokta wote wa humu ndani! naomben ushauri wenu mke wangu amepata tatizo mwili hauna nguvu na anakuwa mchovu sana kapimwa na imeonekana damu imepungua ipo ml 8. Nn kinasababisha...
0 Reactions
15 Replies
24K Views
Mara nyingi nimewasikia watu wakisema fulani amechelewa kupata matibabu, kama angewahi angepona kutibiwa cancer yake...... Nauliza utajuaje kama una cancer? Checking yake inafanyikaje na ni...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Jamani msaada, ninapenda sana maziwa ya ng'ombe lakini nikinywa uso unatoka vipele. Kama kuna mtu anafahamu tiba
1 Reactions
14 Replies
4K Views
wandugu. nina mdogo wa rafiki yangu, anasema ngozi yake (esp. ya usoni) ina mafuta sana. atembeapo juani yani kama kitumbua jinc ngozi inavotoj mafuta. vp atumie lotion au mafuta ya aina gani?
0 Reactions
11 Replies
27K Views
Wakati wa ku-do sex, jaman mwenzenu huwa natokwa na jasho jingi kupitilza mwil mzima hadi shuka huwa znakuwa ka zmemwagiwa maji, ivi leo nina bed match, nimetoka bafuni baada ya 3rd scoring...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Huyu mtu nimemwona akiongea kwenye TBC jumatatu,naomba kujua huyu ni doctor wa nini??kama ni wa binadam sitapendelea anitibu kutokana na jinsi anavyojieleza nimegundua hana self confidence na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom