Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Utafiti uliofanywa hivi karibuni juu ya kupungua kwa nuru ya macho kumeonyesha kua hadi asili mia 90 ya wanafunzi wanaohitimu masomo huathiriwa na tatizo la kuona Macho yahitaji kutunzwa nzuri...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ivi kwanini mwanao ni "damu" yako na sio DNA yako? Damu inahusikaje apo wakati sperms ndo zilihusika? Kama ni damu, kwann mara nyingi group hazilingani?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nina wasiwasi kama hawa wafanyabiashara wa mahoteli wanabadilisha mablanketi na kuweka mengine kila mteja anapotoka. Wenye experience na hili namba maoni yenu kwani ni muhimu sana kwa afya zetu.
0 Reactions
0 Replies
947 Views
kuna jamaa nimekutana naye njiani leo hii, ameota minyama kisogoni, kama lile eneo lenye mafuta kisogoni minyama inaota na kulepelepa kisogoni kama inaadondoka vile...nimeshindwa hata kumpa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hebu pitia hii link How to Heal With Tanzanite | eHow.com uone tulivyobarikiwa kwa rasilimali watanzania... kumbe tanzanite sio kua ni vito tu bali yaweza kuwa dawa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilikuwa nasikiliza kipindi cha mama na mwana, kunakitu sijakielewa vizuri kuhusu kitovu cha mtoto mchanga kuangukia kwenye kinena/ sehemu za siri kuna athari, wataalamu naomba mnijuze...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JF Doctors! Naomba kujua kiasi cha maji kinachotakiwa mwilini kwa mtu mzima kwa siku. Nauliza hivyo kwa sababu leo nimekunywa maji lita Tatu na nusu (from 8am hadi 8pm). Naombeni majibu yenu
2 Reactions
6 Replies
21K Views
Rose's top ten ways to look stylish and great at 98. Rose is wiser and more beautiful than ever. Here are the latest lifestyle tips from an amazing 99 year old woman. 1. Stay Organized "If...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jumapili ni siku ya kucheka Duniani .....ampapo kila mtu anashauriwa kucheka kwa ajili ya furaha ya moyo wake na amni ya dunia kwa ujumla ,,,,jifunze kucheka uone ni jinsi gani utakuwa na afya...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Seli za saratani ya tezi kibofu Mbinu mpya ya kutibu dalili za mapema za saratani ya tezi kibofu huenda ikawa na athari ndogo kwa wagonjwa ikilinganishwa na matibabu ya sasa. Hii ni kulingana na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu hapa kuna kaubishani kidogo naombeni mnijuze hili. urinary pregnant test(u.p.t) hiki kipimo kina uwezo wa ku detect mimba ya week ngapi?
0 Reactions
7 Replies
24K Views
jf doctors nini ni tiba ya tumbo la mp? na hapa namuongelea mwanamke ambaye tayari ameshazaa tayari lakini bado siku za mp anaumwa kama anataka kuzaa tena.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
mwanangu alizaliwa kwa kuchelewa kabla ya mama kufanyiwa operetion na baadae aliishiwa nguvu kiasi cha kulishwa kwa kumkamulia maziwa ya mama. maendeleo yake kwa sasa, miaka2 inaonekana ni slow...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo mchumba wangu amekuja kunitembelea sasa swali langu ni namna ya kuepusha mimba,kwani alianza monthly period tarehe 29.04.2012 sasa je leo tukifanya mapenzi bila kutumia kinga anaweza akaupata...
0 Reactions
1 Replies
820 Views
The 25 Unhealthiest Junk Food Items [*=center] [*=center] Drive down the street of any town in America, and chances are you'll run across multiple fast food restaurants. In fact, there are...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Kupambana na ugonjwa huu ni vigumu na unatisha.Kuna aina nyingi ya saratani jambo linalofanya kuwa gumu kukabiliana nao. Saratani ya ubongo Ubongo ni mojawapo ya kiungo kitovu cha...
1 Reactions
11 Replies
21K Views
Unene na shinikizo la damu Katika dunia ya leo kuna janga kubwa la unene . Karibia - 30% ya watu ni wanene, si ila unene unaesabiwa bali ule wa mafuta mengi mwilini. Kwani kuna unene wa mazoezi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari si nzuri kwa wanaume wanaopenda kutumia wireless internet kwenye laptop zao wakiwa wameziweka laptop zao mapajani au karibu na viungo vyao muhimu vya kiume, utafiti wa wanasayansi wa...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Ugonjwa wa "INI" maarufu kama Hepatitis B ni ugonjwa hatari sana ambao huua takribani watanzania 30,000 kila mwaka; ugonjwa huu hauna tofauti sana na UKIMWI kwa jinsi unavyoambukizwa. DALILI...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana JF, naombeni msaada wenu kwa anayejua. Kuna mtoto wa kiume alizaliwa na kende (Testis) moja ndo inaonekana. Sijui ili linaweza kuwa tatizo kwake kiafya au haina tatizo; na kama ni tatizo nini...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom