Je wajua hasira, mfadhaiko, huzuni, anxiety, chuki n.k zina uwezo mkubwa kukusababishia kansa hata kuliko vyakula na mionzi.
Hata kansa ya matiti kwa utafiti uliofanywa Denmark umeonyesha hisia...
Napenda kuuliza wataalamu wa mambo haya.Kama waliopo kwenye mahusiano huwa wanafanya tendo la ndoa bila kutumia mipira kwa njia moja au nyingine uwezekano wa mtoto wa kike kushika mimba ni rahisi...
Nikianza kuongea mimi kwa kua na mimi naonja kidogo tutabisha ,hii ni huko scotland daktari wa psychology amegundua,nisikuchoshe usinichoshe.brows hapa (Higher IQ = Higher alcoholism? - from Crime...
In India if anytime you are
worried if the medicine is not
just fake or counterfeit, You can
send a 10 digit code as SMS to
9901099010 and you will get a
reply back if the drug was...
shinikizo la damu
Baadhi ya kesi 30 000 ya mashambulizi ya kiharusi na na magonjwa ya moyo hutokea kila mwaka hapa Tanzania, na matatizo haya yamekuwa yakiongezeka mwaka kila mwaka. Mpaka sasa...
Wapendwa wana JF, nasikia ati kuna vidonge unakunywa na rangi ya ngozi yako inapata mng'ao wa kupendeza. Je kama ni kweli vipo hivi vidonge, naomba jina lake na kwa hapo Dar labda pharmacy ipi...
ndugu zangu, nina mwaka wa 6 sasa kwenye ndoa yangu, sijabahatika kupata watoto, tumepimwa mimi na mke wangu hatuna tatizo lolote, sasa hatuelewi ni nini shida! nawaomba muongozo ndugu zangu.
Wana JF salamu,
kwa mara ya kwanza nimegundurika na tatizo la maradhi ya shinikizo la damu, dr aliponipima akasema nina kipimo cha 160/110 ambacho alisema ni kiwango cha hatari. SWALI:-
1. Je...
MADAKTARI wamehadharisha watu wanaobakwa kwamba wakishatendwa hivyo wasioge au kubadili nguo kwa sababu kufanya hivyo kunapoteza ushahidi muhimu wa kumtia hatiani kisheria mbakaji.
Imeelezwa...
Mwenzenu nimekuwa nasumbuliwa na maralia mara kwa mara japo huwa nalala na net na pia chumba huwa napulizia net yani kwangu haiwezi kupita hata wiki 6 bila kuuguwa
Jamani mimi nilifanyiwa TURP kuondolewa prostate miaka zaidi ya 5 iliyopita na toka wakati huo sijawahi kuona shahawa zinatoka,sasa nina mpenzi wangu nje ya ndoa,amejifungua watoto 2 na ameniambia...
kuna jirani yangu ameniomba ushauri kuwa yapata mwaka mmoja sasa ameoa ila hawajajariwa kupata mtoto,ndio juzi akaenda hospital akafanyiwa sperm analyiss,ikaonekana total sperm count yake ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.