I would like to know what medication(s) you are on, and for what reason(s). Is it permanent medication, or just temporary?
Not for any particular reason, but I am curious to know which...
Leo naomba nitoe dukuduku langu kuhusu Wizara ya Afya. Ninaamini kuwa tulio wengi tumeshafiwa na ndugu na jamaa kutokana na maradhi ya Kisukari na/au Shinikizo la damu (Blood pressure), na watu...
Waungwana na wataalamu wa JF nisaidieni hili kwa ajili ya mtu wangu,maumivu ya ziwa la kushoto siku 10 kabla ya siku za hedhi yanasababishwa na nini na dawa yake ni nini?
Wadau natumai wote mu wazima wa afya njema. Naomba kwa yeyote anayeweza kunipatia contacts za dr. Emmanuel boaz ambaye ni daktari mtaalamu wa mifupa anisaidie maana bi mkubwa anasumbuliwa na...
Hivi kuna mazoezi ya uume? I mean unaufanyia mazoezi ila unapokuwa ktk mapenzi sio ndani ya dk 2 umemaliza. Kwa mtu mwenye tatizo kama hilo mnamshaurije?
Naombeni msaada wataalamu wa JF,sukari katika mwili wa binadamu katika hali ya kawaida inatakiwa iwe kiwango gani,kwa vipimo vya Hospitali!na ni vitu gani ukifanya vinaweza kusababisha sukari yako...
Hii ni kitu ya kucopy na kupaste, japokuwa hapa sio topic mpya ila ningependa kushare, tukumbushane tena, nanyi nyote
Habari zenu kina dada, mama na wadogo zetu.
Tungependa ku-share nanyi...
Seoul, South Korea -
In the one of the most disturbing reports I've read in my 31 years of life, authorities in South Korea are beefing up efforts to stop the smuggling of human flesh capsules...
KATIKA mtazamo wa kawaida wa watu wengi, hupenda kujiepusha na ulaji wa mafuta kwa kila hali. Pamoja na tahadhari wanayochukua hujikuta wamelazimika kula mafuta bila ya kupenda. Kutoyataka...
Uzeruzeru ni nini?
Huu ni ugonjwa wa kurithi ambapo mtoto hutoa seli chache zinazotathmini rangi ya ngozi, nywele na macho, maarufu kama melanin. Sehemu hii ya juu ya ngozi inayotathmini rangi...
Ndugu Yenu Ali Haji Haji Anahitaji Msaada Wenu.
Haji Ali Haji (32) ni mkaazi wa Chaani Mchezashauri ameanguka akiwa anaokoa zao la karafuu 2001, kwa sasa ni mlemavu wa viungo alilazwa Hospitali...
Hivi ni kweli kwamba mwanamke mwenye matiti malaini ameshachakachuliwa sana mpaka basiiiiiiiiiiiii au ni maumbile na mambo mengine kama mazingira na aina ya msosi?
Baby sex prediction chart
Want to find out if you are going to have a boy or girl? Then take a look at this ancient Chinese Birth Chart which claims to predict the sex of your baby
All you need...
mara nyingi nakutana na maelezo ya namna ya kupunguza unene ama msisitizo wa matumizi ya aina fulani ya vyakula vinavyosaidia kupunguza unene. Swali langu ni je hakuna namna ambayo mtu mwembamba...
Kuna upungufu wa kondom za kike madukani kibaha sio kwa sababu ya kuongezeka kwa matumizi sahihi ya kondom hizo bali kwa sababu ya urembo.Nb :raba yake ya juu hutoa reflections za rangi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.