Nina miaka 24 ni mpenzi sana wa footbal,kwa kipindi kirefu tangu nikiwa primary level nmekua nikicheza sana mpira bila matatzo yyte,nlivofiksha umri wa miaka 20 mifupa ya miguu ikaanza kuuma hasa...
Upungufu wa Dawa za malaria nchini je, Usimamizi mbovu au Uzembe? Moyo unasononeka sana pindi nilipopata taarifa hii huko nchini Tanzania yaani usambazaji wa dawa za Malaria umekuwa duni hali...
Swali langu ni hilo, hawa wanaoitwa NeemaHerbalist, dawa zao zinatibu kweli kama wanavyojitangaza wanatibu?
Mimi kwa kifupi nataka kuondoa kitambi, dawa zao zinasema zinatibu hilo ndani ya siku...
Awali ya yote napenda kutambua uwepo wa watu makini na wenye hoja za msingi humu JF. Napata tabu sana baada ya siku mbili zilizopita kufuatwa na mdogo wa rafiki yangu ambae anadai kumpa mimba...
Habari zenu wana JF. Nina tatizo ambalo limekuwa likinitesa kwa takribani mwaka sasa. Ninasumbuliwa sana na kiuno yaani ninasikia maumivu makali siwezi hata kuinama kudeki. Nimeshakwenda hospital...
Jamani naomba kuuliza ikiwa kuna dawa ya kumsaidia mtoto wa mwezi mmoja kuondokana na maumivu makali ya tumbo (nadhani ndio waswahili wanaita chango).
Hosp wanasema ni gas sababu ya kunyonya...
Faida za kunywa maji ya kutosha
Kunywa maji safi na salama kwa kiasi kinachostahili kiafya kunaweza kuyaboresha maisha yako na kukufanya ujihisi mwenye afya na furaha zaidi . Kunywa maji ya...
Wana jamvi nina mpenzi wangu mara kwa mara amekuwa akisema ana umwa. Mara nyingi amekuwa akisumbuliwa na kichwa pia maumivu tumboni na maeneo ya mbavu. Kila nikiwambia tukapime anadai eti ni hali...
Hivi ndivyo Vyakula na vinywaji ambavyo watu hujidanganya kuwa vinajengwa mwili wakati vinabomoa
I love food. I do also love unhealthy food, unfortunately, and in an attempt to help myself and...
Tambua faida za vyakula na Matunda tunayokula ndani ya miili yetu.
Apples
Protects your heart
prevents constipation
Blocks diarrhea
Improves lung capacity
Cushions joints
Apricots
Combats...
nauliza kwa doctor yeyote ugonjwa uitwao Staphylococas ni upi kuna mgonjwa kapimwa na pia dawa za antibiotics kama tetracline,cipro,amoxciln,pennicilin hazijamtibu baada ya kuweka kwenye...
10 Fruit Juices Good for Health
Juisi 10 za Matunda Nzuri kwa Afya
Not many people know that soursop fruit (also part of the soursop tree, ie leaves) keep hidden strength to fight...
Kwa maeneo mengi hasa ya mijini kila kona mfano kwenye magazeti, mabango na hata redioni kumekuwa na wimbi kubwa la matangazo ya waganga wa jadi ambao hujinadi kutoa dawa za mapenzi mfano kuongeza...
New Australian system bypasses the body's visual mechanics entirely as images are plugged straight into the brain!
Engineers in Australia have developed a technology they hope will allow totally...
http://jipange101.com/index.php/93-health-editor/163-third-of-malaria-drugs-are-fake
A third of malaria drugs used around the world to stem the spread of the disease are counterfeit, data...
By Michelle Roberts Health editor, BBC News online
Some species in Thailand and Vietnam spread a drug-resistant malaria strain
Continue reading the main story
Related Stories
India launches...
Nina mchumba wangu pindi anapofka kwenye hedhi huwa anapata maumivu makali, vichomi,na tumbo kumuuma kiasi cha kukosa hata ham ya kula msaada wenu ni muhimu kwa sababu naamin hakuna jambo litakalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.