Answer the phone by LEFTear.
Do not drink coffee TWICEa day.
Do not take pills with COOLwater.
Do not have HUGEmeals after 5pm.
Reduce the amount of OILYfood you consume.
Drink more WATERin the...
Mnaojua tufahamishane,masikio yangu yanapiga kelele,yaani ni kama miluzi ila inapiga mingi na sauti tofauti-tofauti kama vile kelele za mgonjwa alietumia dawa ya Quinine,nimepimwa masikio hayana...
Habari zenu wadau wa jukwaa hili, nina hitaji ushauri kuusu tatizo ili ,mi kijana wa kiume ,umri wa aka 27 ,ni hivi huwa ninapokuwa nikifanya tendo la ndoa na wife,nakuwa najikuta ninawahi kufika...
nasumbuliwa sana na 2mbo la hedhi lkn kwa mwezi huu limeptliza af naskia maumvu ya 2mbo km niko kwenye siku zenyewe lkn hakuna hata ki2.Tatizo litakuwa n nin?au nfanyeje hta niwe ktk hali nzuri...
nina rafiki yangu,alipata ajali mwezi wa 2.katika matibabu yake alitakiwa kupata picha ya kiuno(CT scan).
Hofu imebaki nae akiogopa kwamba process hiyo inaweza ikawa imemshushia sex efficiency...
Ugonjwa wa moyo unaosababishwa na simanzi au kuachana na mpenzi/mwenza wako yoyote yule hujulikana kitaalamu kama Takostubo au broken heart syndrome.
Ugonjwa huu husababishwa na kudhoofika ghafla...
Jamani naomba nipate msaada wa kujua tatizo la kuvimba kwa korodani na je, inamadhara gani kwenye ndoa yangu, nahitaji msaada jamani!
Soma na upite tu! Kama huna cha kunishauri please
Many men suffer from a low sex drive, sexual performanceproblems, and an overall lack of male virility. These problems can negativelyimpact a man's self-esteem, sense of self-worth, and the...
I've fathered 16 children but I'm still a virgin at 36
Trent Arsenault is world's first donorsexual
HE is only 36 but Trent Arsenault is already dad to 16 children – despite being a VIRGIN...
Hivi jamani mama anayanyonyesha may be mtoto ana miezi kadhaa, (3months) akapata mimba nyingine afanyaje?yule mtOtO mdogo? Na dalili zipi zitaonyesha kuwa mtoto amedhurika na maziwa ya mama yake...
Trying to pick up tips, I'm not too sure myself!
Also, it would be helpful to post the foods you make sure you eat to get a wide selection of the essentials.
Chagas: Is tropical disease really the new
AIDS?
Chagas, a tropical disease spread by insects, is
causing some fresh concern following an
editorialpublished earlier this week in a
medical...
Habari zenu wanajukwaaa...Nina tatizo karibia mwaka sasa yani mikono inakua na dalili za homa,joto,na kuwa na joto kama vile nae ota moto lakini ni kwa ndani mpaka kuna wakati hua namwagia maji...
Wana jamii naomba kuuliza kwa yeyote anayefahamu kwamba,mtu anapoyumia Magic kunyolea ndevu anaweza kupata weusi fulani usoni baada ya muda fulani je? kuna aina nyingine ya Magic ambayo mtu...
Chagas, a tropical disease spread by insects, is causing some fresh concern following an editorialpublished earlier this week in a medical journalthat called it "the new AIDS of the...
Chagas, a tropical disease spread by insects, is causing some fresh concern following an editorialpublished earlier this week in a medical journalthat called it "the new AIDS of the...
Huwa tuna shauriwa sana na watu mbali mbali napia ni vizuri pia kutambua umuhimu wa condom kuwa ni kweli ina zuia ma ambukizi ya (v.v.u) ninge penda ni jue kama kweli au sikweli
kuna ubishi...
Jamani ninaomba ushauri wenzagu nina cholestro ambayo nimepewa dawa za hospital kuanzia leo kunywa miezi miwili.
Je kitu gani cha asili nitumie ili itoke mwilini mwangu?
Asanteni:israel:
Tujiulize kitu hiki.. Hivi Baada ya miaka Kumi Tanzania itakuwa na Vichaa wangapi? na Wagonjwa wangapi wa Kansa ya mapafu or magonjwa elfu 4000 yanayosababishwa na Uvutaji wa Sigara na madawa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.