Mke wa rafiki yangu anasumbuliwa na ziwa linamuuma upande wa kushoto,maumivu yanakuja nakupotea,alijua inaweza kuwa ni Cancer lakini amefanya vipimo ikaonekana hana tatizo lolote ila wamehisi ana...
Salamu Wakuu!
Naomba kujuzwa kuhusu huu uchunguzi wa kitabibu unaofanywa na vituo hivyi vya tiba mbadala (SNS)vinavyosimamiwa na Askofu Gamanywa, je ni salama kwa afya za watumiaji? Na...
Tumewahi umesikia au kusema 'nina homa'' au dalili za ugonjwa fulani ni pamoja na 'kupata homa'. Watu wengi (ikiwemo mimi) hatujui maana au dalili hasa za homa.
Naomba msaada wa ufafanuzi juu ya...
Hi JF Doctor ! hoping ur doing fine! sijui ni ugonjwa au mabadiliko ya mwili kiumri nimejigundua nimekuwa na ukosefu wa kumbukumbu vizuri naweza nikaweka kitu mahali within a short time...
Wakuu naomba kujua kuhusu hili - Nimeona cheti za Death Certificate kimeandikwa (Course Of Death is CCF) Naomba kwa wale wataalamu wa udokta nini maana ya CCF! Asante.
Hello Wana JF. Naombeni kuelekezwa spitali nzuri ambayo inatoa huduma nzuri za clinic kwa wajawazito pamoja na huduma ya kujifungua. Hapa Hubert Kairuki Mikocheni huduma zao ni mbovu. They are not...
Jamani naombeni mnisaidie dawa ya kuzuia kutapika wakati wa kusafiri kwani huwa inanitokea mara kwa mara hata nisipokula kitu chochote lazima itokee,msaada tafadhali
Heshima mbele wakuu!!!
Mimi ni mwenyeji wa moshi ila sasa hivi nipo dodoma kikazi kama mwaka pili hivi,tatizo langu ni kuwa siku za hivi karibuni nimeanza kuwashwa sana mwilini nikitembea kwenye...
JAMANI, ni ajabu nimewakuta wakenya hapa nzega Tabora, wanafanya kampeni ya kutahiri wanaume, hata watu wazima wanapanga foleni wanaenda kutahiriwa ati kwa kufanya hivyo kunapunguza uwezekano wa...
Medical Dark Ages
*Quotes from Dr. Dean Burk, co-founder of the National Institute:* "The more people making a living off cancer, the more impossible it is to get rid of it." "If enough money can...
From Yahoofriends
A little boy died in Brazil after eating MENTOS and drinkingCoca-Cola / PEPSI together. One year before the same accident happened with another boy in Brazil . Please check the...
Nachukua nafasi kuwapongeza ma Dr. wote wanaofanya kazi Tanzania kwa sababu nyingi lakini kati ya hizo ni
1.Kufanya kazi kwenye mazingira magumu bila vifaa vya kutosha,mishahara isiyo...
Katika kipindi cha ujauzito athari hutokea nyingi ila kitu cha msingi mama mjamzito anatakiwa aanze kliniki mara moja pale anapokuwa tu mjauzito. Wakati wa ujauzito mabadiliko mbalimbali...
Mara baada ya kujifungua mama anaanza ukurasa mpya wa maisha ya malezi. Anaanza wajibu mpya wa kulea, akili yake na mwili wake unakuwa tayari umejijenga kulea mtoto.
Mama ana kazi ya...
Healthy Life ....
‎'Some unknown Health Benefits of Mangoes'
Prevents Cancer and Heart diseases
High amount of antioxidants are present in mangoes. So mango when consumed regularly fights...
Naomba kufahamishwa umuhimu wa asali ya nyuki wakubwa,nimesikia ukichanganya na maji ya moto inasaidia kuyeusha mafuta mwilini ila sijajua ni asali ya nyuki gani wakubwa au wadogo! Mimi natumia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.