Ndugu zanguni wataalam, nina tatizo la muda mrefu. Nikiwa kijijini kama mwaka na nusu uliopita nilikuwa namwelekeza ng'ombe kwenye zizi lake ghafla akanivuta na mkono ukauma sana. Nilienda...
Kwanza mm si mtumiaji wa kilevi aina yeyote. Ila nahisi nimeathirika kisaikolojia.
-Nimekuwa si muoga wa hata yale yanayostahili kuogopwa.
-nimepoteza mpaka hofu ya mungu.
-sina huzuni hata...
je mwanamke anakaa muda gani hadi kurudi katika hali yake ya kawaida baada ya -kujifungua?
namaanisha 1. anaanza lini kupata hedhi
2.ni muda gani muafaka kukutana na mwanaume...
Habari zenu madaktari na wanajamvi!
Hivi kuna uwezekano wowote wa mtu kupunguza kuwa na hofu/uoga na kuwa jasiri?
Unaweza ukakuta mtu mwingine anasimama mbele ya watu wengine na anaongea bila...
Kolesteroli na namna iwezavyo kudhibitiwa bila dawa
MAJI HUKINGA NA KUPONYA KOLESTEROLI:
Kwa kusikia tu sentensi Una kolesteroli iliyozidi toka kwa daktari kunaweza kumfanya mtu yeyote...
wadau katika kalenda ya afya hii ni wiki ya wafamasia sasa hebu tuongee mnaionaje nafasi ya mfamasia katika utoaji wa huduma za afya na chochote kinachohusu hii kada
Poleni na majukumu ya kila siku! Ndugu zangu Naomba kwanza nithamin mchango wenu katika suala la kujali Afya za watanzania wenzenu kwa kutoa elimu,na msaada wa kimawazo bure pasipo na tozo...
Drs. na Wanajf,
Naomba kufahamishwa kwa utaratibu wangu huu wa maisha nakosea sehemu au niko sawa?
Mara nyingi huwa naamka saa 12 asubuhi. Asubuhi nikiamka kila siku nakunywa maji ya uvugu...
Habari wanajf.tafadhali mimi sijawai kuzaa ila tumbo langu kubwa ka nina mimba vile.kiukweli linaninyima raha,kwasababu naonekana kama mmama mtu mzima kumbe bado binti.tafadhali nisaidieni namna...
Wana MMU poleni na shughuli za kila siku ..
naombeni msaada jamani...
kuna tatizo ambalo nilikuwa sijui kuwa ni tatizo kwa sababu mimi mda wote nilikuwa nipo comfortable with this japo nilikuwa...
Hi Wanajamii habari za asubuhi
jamani ninapenda kama kuna watu wanaweza kuelewa hii kitu ni kuwa kuna shemeji yangu ana jawa na maji tumboni walienda kupima wakaambiwa milija fulani hivi haifanyi...
Watu wengi tumekuwa tukilalamikia kiungulia, heartburn, ila kuna procedure ambazo ambazo mtu anaweza fanyiwa na kutatua tatizo once and for all. Lets first look at the
Gastro-oesophageal...
jaman mwenye idea na suala la mtu mwenye uso wa mafuta apake nin coz mafuta haiwezekani, glycerin hapana hebu funguken wataalam. Halafu jamani mi ngozi yangu inachubuka hivi sijui kipupwe maana...
Habari JF Dokta. Naombeni msaada kuna hivi vipele viko kama chunusi bali si chunusi hupenda kutokea kwenye ngozi laini kuzunguka jicho kwa baadhi ya watu. Nimeshaona watu wengi wanavyo wengine...
What is mitral valve prolapse?
Mitral valve prolapse (also known as "click murmur syndrome" and "Barlow's syndrome") is the most common heart valve abnormality, affecting five to ten percent of...
Jamani wataalam wa afya au mwenye kufaham tiba ya mafua,nimesumbulwa na mafua kwa kipindi kirefu sana bila kupona,nimeenda hospitali mbalimbali bila mafanikio.Hivyo naomba mwenye kufaham tiba...
habari za siku nyingi wanajamvi. kuna msemo kwamba "kukata gogo ni starehe" nimetumia tafsida kidogo ili nisiwakwaze. leo mwenzenu starehe imegeuka kilio kwani nimetoa chozi wakati nakata gogo...
If you are an ADULT of average weight here is what you accomplish in 24hrs
- Your heart beats 103,689 times.
- Your blood travels 168,000,000 miles.
- You breathe 23,040 times.
- You inhale 438...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.