Northern Ireland's health minister Edwin Poots (pictured donating blood) has defended comments he made about blood donation in relation to people in Africa.
On Sunday, Mr Poots said a ban on...
Jamani wanajamvi habari zenyu,madactari naomba ushauri au nitumie dawa gani kwa hili linalonisibu.
Nimetokewa na rushes ila zile kama za allergenic ukikuna inavimba na vinawasha sana ,nisaidieni...
Say bye-bye to uric acid problem!
Just try it if you've got uric acid after all no harm done.This is a really effective, just mix green papaya cubes to the ordinary green tea, my cousin-brother...
habari za kazi ndugu zangu, kunatatizo limejitokeza kama miezi miwili sasa hivi, nikisimamisha jogoo wangu anakua anauma, ata kama niko na mama watoto, uume unauma, yani misuri inakua imekaza...
mke wangu alijifungua mtoto mkubwa 5.5kg bahati mbaya, toka december 2011, anasema kuna mabadiliko asiyoelewa kama: 1)akikaribia kupata hedhi joto linapanda sana na anajisikia kama anaumwa akipima...
Natafuta Doctor specialist wa Macho naomba msaada. Kuna mtoto wangu amekuwa affected jicho lake la reflection ya mwanga mkali wa projector. Je atumie dawa gani?
Wakuu,
kutokana na uchunguzi mdogo niloufanya nimegundua kuwa siku za hivi karibuni kumekuwa na idadi kubwa ya watu(hapa Tanzania) kufa kwa ugonjwa wa moyo......so nilikuwa naomba kujuzwa vyanzo...
Wakuu, it is quite true that environment has a direct impact on those living in it and many diseases are the outcome of mans maladjustment to his environment. The factors, which affect human...
Nina mdogo wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na tatizo vaginal infection jana alienda hospital na akapewa vdonge vya kuingiza sehem za sir kwa 6 days,tatizo n kwmba leo ameingia period ameniuliza...
habari zenu wapendwa. Pls msaada wenu wahitajika hasa madaktari wa ngozi, uso wangu umetoka pimples na zimeacha spots kibao, nimenunua persol cream nimetumia siku 1 tu, uso unavuta ka nimechanjwa...
1.mimi na matatizo ya presure wakati mwingine inakuwa juu wakati mwingine chini na tumia vidonge vya la six ambavyo kwa siku masharti yake lazima ni tumie ndizi moja je siwezi kula tunda jingine...
Kwanza mm si mtumiaji wa kilevi aina yeyote. Ila nahisi nimeathirika kisaikolojia.
-Nimekuwa si muoga wa hata yale yanayostahili kuogopwa.
-nimepoteza mpaka hofu ya mungu.
-sina huzuni hata...
Death begins in the colon actually comes up with a couple of hits when you Google it. One site said, according to the Royal Society of Medicine U.K - 90% of all chronic diseases are due to...
kuna uwezekano mwamke akadoo siku ya 15 tangu siku alipoanza kubleed then siku ya 28 akableed kama kawaida baada ya hapo mkadoo siku ya siku ya nane.. Baada ya siku saba apime aonekane ana ujauzito?
habari zenu wana jf,,,,,,miminasumbuliwa na mistari mwilini yani streach mark ziko kiunoni na mapajani,,,,,nimejaribu dawa za sh amor mda sana bila mafanikio zimenitokea baada ya kunenepa...
Lengo nikuwasaidia watu kama hao kwan nilisoma kwenye article moja kuwa kuna watu wenye hali hizo ila zinaweza kubadilishwa iwapo watapata ushauri mzuri wa kisaikolojia na pia kutibu chanzo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.