Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

kwa nini hakuna sehemu maalumu zilizojengwa kwa ajili ya wasafiri kukidhi haja zao??!!!(kuchimba dawa kama ilivyozoeleka) tunapokuwa kwenye basi kila mmoja ana magonjwa yake,na magonjwa mengine...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wa ndugu! Ki ufupi bado sijaoa,nipo kwenye process! Kutokana na hali hii, huwa naweza kukaa mda mrefu (even a month) bila kushiriki tendo! Katika kipindi hiki, huwa kuna wakati nakuwa na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikia watu wakisema, kuwa mtu mwenye mimba hasa changa hatakiwi kunywa dawa chungu mf:ALOE VERA,MWAROBAINI nk. yaweza kusababisha mimba kuharibika. Hii imetokea kwa jirani yangu mkewe...
0 Reactions
5 Replies
17K Views
One hopes never to be needing it, but just in case:... A simple but effective way to treat burns with the help of egg white This method is used in the training of firemen. When sustaining a burn...
1 Reactions
0 Replies
936 Views
Ugumba ni hali inayotokea iwapo watu wawili, mwanaume na mwanamke wanapokutana kimwili (au kujamiana) bila kutumia njia yoyote ile ya upangaji uzazi kwa muda wa miezi 12 na kutoweza kushika mimba...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
tafadhali wasilianan na 0716262046
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ultrasound ni chombo ambacho kimekuwa kikitumiwa na madaktari wengi sehemu mbalimbali duniani kwa ajili ya kuchunguza matatizo mbali mbali yaliyo ndani ya mwili wa mgonjwa. Mojawapo ya matumizi...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Wadau taarifa rasmi toka chombo cha umma TBC-Taifa ni kwamba mgomo uliotangazwa na chama cha madaktari kuanza kesho tarehe 23.06.2012 mahakama kuu kitengo cha kazi imeamuru kusitishwa kwa mgomo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf., nimepima afya kwa kutumia kifaa chao kinatumia magnetism,,report inaonesha nina magonjwa ingawa sio ya kutisha...daktari kaniandikia kutumia dawa zao ambazo ni ghali sana...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Mwenzenu nina swali. Naomba kujua taratibu za kufanya mapenzi kwa njia ya calender. Ni wakati gani nikikutana na mpenzi wangu kimwili anaweza kupata ama kuto pata mimba? Nimejaribu kufanya nae...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume,nina warts kwenye maeneo ya pubic hairs na zinaongezeka na kukua baada ya kutumia dawa kama pencil hivi ya kuviunguza, Je dawa yake ni nini kuviondoa kabisa maana sivipendi?.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi nashindwa kuelewa kama ni tatizo kwani nimekuwa nikipata maumivu makali nikikaribia menstruation na nikiwa kwenye ovulation. Tiba yake ni nini maana napata maumivu sana, nina miaka 23...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
according to the local news.,channel 5 ya uingereza, the General Practioners,GP'w are striking against the raised taxes imposed on doctors, by 3%. on the government side..doctors are paid more...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
according to the local news.,channel 5 ya uingereza, the General Practioners,GP'w are striking against the raised taxes imposed on doctors, by 3%. on the government side..doctors are paid more...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Wadau nisaidieni, Nina mpenzi wangu ananipenda sana lakini anataka kuniacha sababu mimi huwa ninatatizo la mishipa ya ubongo hunisababishia kutokuelewana vizuri wakati wa mazungumzo. Daktari...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kuna baadhi ya siku na ni mara nyingi ninapotaka kufanya mapenzi jogoo anakuja down. Nifanye nini kuondosha tatizo. Ushauri please
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kumekuwa na malalamiko ya wagonjwa hasa wanaokwenda kutibiwa KAIRUKI hasa katika kitengo cha meno, kuhusu DR anayehusika na kutibu meno kuwa anakauli chafu, vitisho na kejeli.Anapotibu mgonjwa...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Wadau hii leo ni kama siku ya pili nachoka sana mwili na mapigo ya moyo yananienda mbio sana Kama week moja iliyopita nilihisi hali hii lkn ikanibidi niende kwa dokta akanipima malaria nikawa...
0 Reactions
2 Replies
10K Views
inakuwaje watu wanashindwa kujamiiana?je tatizo hili lina tiba?je linawapata wanawake pia?naomba kusaidiwa.
0 Reactions
18 Replies
28K Views
It is quite true that environment has a direct impact on those living in it and many diseases are the outcome of man's maladjustment to his environment. The factors, which affect human health and...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom