wadau mke wangu anapata maumivu makali sana pindi anaponyonyesha mtoto pia kama kuna viuvimbe kwenye chuchu pls msaada tafadhali n.b ni mzazi week ya tatu sasa
Is an effect of coffee to wake up early, you know, but which has become a major problem, it seems that the men at the same time also an effective weapon against prostate cancer!The benefit of the...
So many sphycologists, doctors etc always say that making love cures headache but I havent got a proper scientifc explanation on this issue and how far true it is.
Mwenye uelewa zaidi atumwagie...
Nilitumia dawa za Malaria aina ya Co-Malafin,nilitumia siku tatu,baada ya hapo,siwezi kukaa juani au sehemu yoyote ile yenye joto!yaani Mwili unachomachoma mpaka vinatokea vipele na vinauma...
11 STEPS TO REDUCE MENSTRUAL PAIN
This article is not for ladies alone..Guys, if u love your lady, then my guess is sometimes when she is having her
Periods, you are also stressed as she goes...
Daktari Njelekela katoa tangazo hili leo kwa madaktari waliogoma Muhimbili:
TANGAZO KWA MADAKTARI WOTE WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili unawatangazia...
Habari wanajamii forum!
Mimi ni binti wa miaka 27.Tatizo langu ni siku zangu za hedhi.Mwanzo sikuwa na tatizo la kupata siku zangu lakini mwezi uliopita sijaelewa nimepatwa na tatizo...
WAGONJWA wa Ukimwi huenda wakanufaika na dawa mpya ambayo itawawezesha kutumia tembe moja kwa siku. Hii ni kwa mujibu wa utafiti mpya nchini Marekani.
Kwa mujibu wa Jarida la Afya Lancet...
Ndugu zangu habari ya leo, nimeamka asubuhi kijana wangu amdpatwa na ugonjwa wa RED EYES yani haoni na pia ana allergy amevimba uso kama ametembelewa na washawasha, wale wenye kujua dawa please...
nina tatizo la kuchelewa kumaliza tendo la ndoa natumia zaidi ya dk 30 kumaliza na nina uwezo wa kufanya tendo ucku kucha bila kuchoka.nahisi hii ni tatizo kwan na mbore girl friend...
What can the health service offer?
Africa Live takes a trip to the barber shop to discuss the health service
On Thursday 7 July, Africa Live is in Milton Keynes and Dar es Salaam, with BBC...
Wakuu heshima kwenu,
Nina vijana wangu huku porini wanaugua majipu. mmoja anasema ni miaka mitatu sasa yanamsumbua, likisha moja linakuja lingine. Msaada please wa dozi ili yaishe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.