Nilikuwa kijijini mwezi uliopita, nahisi maji ya kule yamenidhuru, nimepata kitu kinaitwa jock itch/fungus (angalia picha) (google).
Ni kama vipele vidogo vidogo vinavyowashwa wakati wa joto...
Karibuni mboreshe afya zenu(ikiwezekana na kipato) kwa kutumia bidhaa bora kabisa ulimwenguni zilizotengenezwa na aloe vera(Shubiri).
Bidhaa kama Forever Bright Toothgel(Bidhaa ya meno) ni bidhaa...
Habari wana JF,
Naamini kila mtu anakubaliana na mimi kuwa habari ya Dr. Ulimboka inaanza kufifia hapa jamvini. Hii ni kawaida kwa kila habari mpya, huvuma, hufifia na kisha hupotea kabisa, hasa...
Wadau naomba msaada mara nyingi nasafiri na ndege na mara zote masikio huuma sana, inasababishwa na nini na njia gani naweza kuzuia hali hii, mara zote hizo abiria wengine huwa wako normal.
HI MEMBERS,
KWA KWELI NIMEJUA SASA MADHARA YA POMBE KATIKA AFYA YA MWILI WA BINADAMU.
TENA WHYSKY NI HATARI SANA KWA MAINI, MOYO, MIFUPA, FIGO, BANDAMA NK.
MIMI MWENYEWE NILIKUWA MTU WA KILAJI ILA...
Ni utafiti usio Rasmi, wagonjwa wengi wa kisukari ni wanaume kuliko
wanawake. Hii inatokana na takwimu nilizonazo mwenyewe, asilimia 95
(95%) ya wagonjwa wa kisukari ninaowafahamu au niliowahi...
Hivi wangapi baada ya kujisaidia haja kubwa huwa na mazoea ya kuangalia mzigo uliotoka ? Kwa afya yako uwe na mazoea ya kuangalia mavi yaliyotoka ili ujue afya yako ya mfumo wa usagaji/tumbo na...
JF Doctor. Hivi hivi vipele vinavyoitwa kwa kitaalam Penile Peary Papules (hutokea ktk shina la kichwa cha uume), haviumi, haviwashi, hutokana na nini? Na ni ipi njia ya kuviondoa?. Kuna jamaa...
Heshima kwenu Wakuu.
1.Eti ni kweli kwamba mtoto akizaliwa premature wa miezi 7 anayo nafasi kubwa ya kusurvive kuliko premature wa miezi 8?
Kama jibu ni ndio nitafurahi kufafanuliwa ni kwa...
I salute you all!
Israeli researchers have developed a medicinal marijuana that can ease the symptoms of some ailments without making patients "high".
Source : Israelis develop 'highless'...
Ndio wana JF
Naomba kuuliza kuna habari kwamba ili kujua siku anazojifungu mwanamke mjamzito unaweza kuanza kuhesabu siku kwa kutumia ultra sound iliyopigwa ndani ya wiki nane mpaka kumi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.