Nina mwezi wa pili sasa unaenda, kila nikienda haja ndogo mkojo unatoka wa njano, nikisema ninywe maji mengi, mkojo unatoka mweupe kama kawaida, siku nisipokunywa maji au nikinywa maji kidogo...
Mimi ni miongoni mwa watu wanaokusumbuliwa na changamoto ya kigugumizi.
Kutokana na kigugumizi nimekosa fursa nyingi, hususani zile zinazonibidi nijielezee kwa jamii jambo fulani; kwani baadhi...
Researchers on hiv/AIDS have found there is an increase in resistant HIV strains in africa. Reporting in the 19th international AIDS conference in washington,there is 1-7.3percent rise in...
hello jf doctors, natumai mu wazima. Nimesikia kuwa kufanya mapenzi mara kwa mara husaidia ngozi ya mwanamke kuwa nyororo na yakuvutia and virseversa, je ni kweli wadau? Na mwanamke asipofanya...
Three decades into the AIDS pandemic an end to new infections is in sight, according to Anthony Fauci, director of the US National Institute of Allergy and Infectious Diseases. "We don't even know...
Baadhi ya watu hukumbwa na tatizo la kuwa na vijiwe katika figo na mfumo wa mkojo kwa ujumla. Mawe haya hutokana na ama madini chumvi au tindikali mbalimbali zinazotolewa mwilini.
Aina za mawe...
Utafiti wasema unywaji wa angalau soda mbili kwa wiki huongeza hatari ya kupata kansa ya tezi kongosho; viwanda vyadai utafiti una walakini.
Mapema mwaka huu iliripotiwa na majarida kadhaa sehemu...
Habari wana jf, naombeni msaada wenu katika hili...
Nilikuwa naomba kuuliza ni zipi dalili za awali za mtu alie pata mimba??
Lakin pia ningependa kujuzwa maumivu ya tumbo one day after having...
Jamani mimi niliwahi kuumwa ugonjwa wa kifua kikuu miaka 7 iliyopita na nilipata matibabu nikawa nimepona kabisa lakini cha kushangaza nashindwa kucheka!! na nikicheka kwa kujilazimisha basi...
MIAKA mitano iliyopita wanasayansi walivumbua njia ya kutengeneza chembe nyingi za msingi za mwili wa mwanadamu (human stem cells). Chembe hizo zinaweza kuendelea kukua vizuri na kuwa kama chembe...
jamani ma dr,naomba msaada,kuna rafiki yangu anampdnzi anataka kumchumbia,lakni mpenzi wake alimwamaia kuwa kafanyiwa fgm.female genital multilation yaan amekeketw,na huwa nasikia huwa hawapati...
Nimeona wanaharakati wakihimiza watu kutahiriwa ili kujikinga na maambukizi ya ukimwi. Wengi wanaminishwa kuwa tohara ni kama chanjo, matokeo yake wengi hasa vijijini watafanya ngono zembe...
Moja ya magonjwa hatari sana ambayo yanaweza kumpata mtu yoyote ni ugonjwa wa shambulizi la moyo. Huu ni miongoni mwa magonjwa yanayoongoza kwa kusababisha vifo vya wanaume na wanawake.
Kwa...
Ma Dr na wana JF wenzangu-natanguliza heshima,
Nina mtoto ambaye sasa ana umri wa miaka 18,msichana na amemaliza kidato cha 4 kwa kushindwa mtihani -div.0.
Tatizo lake nimeligundua baada ya wazazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.