Ndugu wanajamii humu ni wiki moja imepita nimeshuhudia mtoto akitapika damu kwa wingi hadi niliogopa kwani sija wahi kuona tatizo kama hilo. Hivi tatizo hili linatokana na nini? Na matibabu yake...
Heshima kwenu waungwana.
Naomba kujuzwa hospitali inayotoa huduma bora zaidi kwa kinamama wakati wa ujauzito na kujifungua. Zilizo mkoa wa Dar es Salaam - Tanzania.
rafik yangu kanitumia email hii,nikaona sio vibaya nikaiweka jamvin;
If I take a trip down
memory lane, just a few years ago, the Aga Khan Hospital-Dsm (AKH) was one of,
if not the best...
Mwanamke akitaka kupata mototo baada ya kuacha kutumia dawa za uzazi wa mpango,
anatakiwa akae muda gani ndipo apate mimba? na wakati huo wa kusubiri afanye nini?
nauliza hivyo kwavile nimesikia...
1
FAIDA YA MATUMIZI YA TENDE KATIKA KUONGEZA KINGA YA MWILI NA TENDE ni chakula chenye hali ya juu ya sukari na huliwa zikiwa mbichi au mbivu. Katika kila gramu 100 (100gm) ndani yake mna lishe...
Utafiti uliofanywa nchini Marekani hivi karibuni umetoa matokeo ya kushangaza kwa kusema ya kwamba matumizi ya dawa za usingizi huongeza hatari ya kupata saratani pamoja na mtu kufa mapema...
We have all heard of the BP oil spill, and know that this crude oil is very harmful. But do we really know the harms? Crude oil is filled with toxic properties, and when these toxins become...
Sampuli ya damu ya binadamu smear: a- chembe chembe nyekundu za damu; b - nutrofili; c - ozinofili; d - limfosaiti.
Picha ya darubini ya elektroni ya ukaguzi (SEM) ya seli nyekundu ya kawaida...
Nilijifungua mwezi wa kumi na mbili na nilipata period mwezi wa kwanza normally! Ingawa nasikia unatakiwa ukae for sometime up to six months bila kuona! Nanyonyesha vizuri na mtoto anaongezeka...
JF Doctor,inapofika kipindi cha kuingi katika kipindi cha hedhi huninyima raha kabisa kwani hupatwa na maumivu ktk sehemu ya haja Kubwa(Anus)na pia vivimbe,maumivu makali,misuli kuvuta sehemu za...
nimechunguza kwangu na mwanangu wa mdogo miaka mi 4 nikaona korodani(vile vigoroli cha kushoto na kulia naona vinatofautiana size) hii ni kwa sababu gani??
Muhimbili yapunguza gharama za vipimo
Tuesday, May 17, 2011, 8:50
Habari, Mtanzania
Na Otilia Paulinus
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH), imepunguza gharama za vipimo vya matibabu kwa...
naombeni msaada mwili wangu unaniwasha sana pale ninapopita kwenye jua kali na nikipata joto na pia wakati na fanya mazoezi mwili unakua unaniwasha.Nikiazwa kuwashwa nakua najisikiakama vitu vina...
The second annual Google Science Fair, a science talent competition for kids ages 13 to 18, was held this month in Palo Alto, California. This years winner, 17-year-old Brittany Wenger, wrote...
Wataalam na wenye uzoefu wa malezi ya watoto wadogo kuanzia siku sifuri na kuendelea. Mwanangu wa kwanza ana siku nne kwa sasa, Imenilazimu kutumia lactogen (1) ili kuongeza kiwango cha maziwa...
Jamani bila shaka mmeamka salama,na wale ambao wameamka wanasumbuliwa na magonjwa mbali mbali nawaombea kwa mungu awaponye haraka.ndugu zangu naombeni msaada wa dawa ya kuacha pombe maana nahis...
Madonda ya tumbo ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi: Mimi nimekuwa muathirika mara mbili. Hii hapa stori yangu:
Niliugua ugonjwa wa madonda ya tumbo tokea mwaka 1999 - 2007. Wakati ule...
naomba mnisaidie,hivi mwanamke kuwa na maji kwenye milija ya uzazi inasababishwa na nini?doctors wamemuambia mke wangu kuwa mirija ya uzazi imejaa maji na tatizo hili lina mazara gani?je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.