Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jamani naombeni kujua nini tatizo linalosababisha mguu kwenye unyayo chini usawa wa kisingino kuuma wakati nakanyaga chini?? ni mguu mmoja tuu.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau nilienda Hydary plaza kupima macho,nikapewa miwani ya kusomea, Baada ya wiki miwani ilianguka na kioo kikachomoka....nikaja kugundua kumbe ni plastic wameweka na sio kioo??? Hivi miwani ya...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Habari zenu wapendwa, Jaman nina wifi yangu hapa amepatwa nna hali ya ajabu amenishirikisha ila na mie mshamba kwa hili hata siielewi kitu nimeamua kuliwahisha humu ili mtuusaidie! Ameolewa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Jamani naomba ufafanuzi juu ya hili jambo ambalo nimelisikia hivi karibuni, eti wanaume wenye maumbile makubwa wana uwezekano mkubwa zaidi wa kuambukizwa au kuambukiza magonjwa ya zinaa hususani...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Naombeni wadau mnihabarishe madhara na faida ya kutumia shaving powder au shaving cream sehemu za siri
0 Reactions
7 Replies
4K Views
kama kuna mtu anajua vidonge ama dawa za mtu akitumia ananenepa kwa mwanaume maana nimechoka kuwa mwembamba anambie
0 Reactions
10 Replies
12K Views
idara ya afya mkoa wa tabora imetangaza kutoa huduma ya Tohara kwa wanaume..Na itafanyika wilaya ya nzega..wahi huduma hii ni Bure... Wanaume miaka 23 watapewa kipaumbele.. Chini ya hapo waje na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
najua inaweza kuonekana kama nia ajabu lakini ninapata hii hali mara kwa mara ninapokuwa nakula nyama ya aina yoyote mpaka nashindwa kuelewa. ni mzima wa afya kabisa but ninapokuwa nakula nyama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Napenda kujua dawa zakiasili zinazotibu weusi chini ya macho
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni mafuta au losheni gan inafaa kwa ngozi yenye mafuta
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jaman ninatatizo la uvimbe kwenye pubic sehemu ya kulia na mda mwingine uvimbe huu ushuka hadi kwenye korodan moja ya upande wa kulia,lakini ajabu ni kwamba uvimbe huu mda mwingine uleta kitu kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana JF? Ni mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi humu, ila ni mfuatiliaji mzuri wa JF .:wave::wave::wave: Naomba msaada wa kujua ni hospitali ipi / zipi kwa hapa Tanzania wanatoa matibabu...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu ambo siyo aidha tabibu meno, au daktari wa meno kutoa huduma ya kung'oa meno watanzania katika maeneo mbalimbali hapa Tanzania. Madhara yake ni mengi sana...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ndugu kuna mtu anauza mafuta ya mbegu za ubuyu, kati ya Tsh 40,000 na 60,000. Swali je nini kimeyapa mafuta haya thamani kubwa kiasi hicho kwa muda mfupi? Pia naambiwa matumizi ni kuyala mabichi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KUMEKUA NA ONGEZEKO KUBWA LA KUZALIWA KWA WATOTO WENGI WA KIKE KULIKO WAKIUME. MOJA SABABU AMBAZO HAZIJATHITISHWA NA WATAALAMU NI KWAMBA, WANAUME WAVUTAO SIGARA KWA WINGI NI VIGUMU KWAO KUPATA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nina tatizo la mba kichwani ambalo ni la mda mrefu.ni hivi nikiziacha nywele zangu kwa mda wa mwezi nywele zinakuwa na mba aina ya ungaunga na kuniwasha sana tena nikizichana bila kutia maji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ugonjwa wa Ebola waripotiwa kuingia kijiji cha Bulongo, Karagwe- Kagera. Mtoto 1 wa miaka 6 amegundulika kuwa na dalili zote za ugonjwa huo. Source Radio 1 Stereo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanaume unaweza piga bao ngapi wakati wa mapenzi mpaka ziishe zote.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
J.D.M Health Consultanttunahusika na utoaji wa ushauri wa afya hasa kwa magonjwa yanayotokana namaisha tunayoishi hivi leo (life style diseases) kama kisukari, shinikizo ladamu, saratani, vidonda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom