Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ikiwa hospital ya Bombo TANGA na nyenginezo hazina hata x-ray madaktari wasigome kwanini? Hili ni janga la taifa wananchi tusiwalaumu madaktari kugoma ni waokozi wetu, hospitali nyingi hazina...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Hi! Wataalamu wa JF, nimesikia kuwa eti mtu ukinywa Panadol au paracetamol muda mfupi baada ya kunywa kinywaji cha coca-cola kuna madhara. Naomba wanaojua wanijuze ni madhara gani hayo na...
0 Reactions
51 Replies
15K Views
Habari za hivi punde zinasema kuna mtu amegundulika kuwa na dalili zote za ugönjwa hatari wa ebola mkoani mwanza. Chanzo: STAR TV Kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kuwa mtu mmoja amekutwa na...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Wadau naomba mnisaidie dawa ya kipandauso sugu(magraine) nasumbuliwa sana kiasi cha kupoteza fahamu,nasubiri majibu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni wazi kuwa karibia sote tunaishi kwa mazoea na wengi hatuzingatii umuhimu wa 'AFYA'. Download hiyo attachment uisome kwa uelewa binafsi kwanza halafu baadaye umdokezee na mwenzako. Ni muhimu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani naomba kuuliza hvi mwanaume mwenye korodani moja anauwezo wa kuzalisha? ikiwa anatoa mbegu kwa kutumia korodani moja tu naomba msaada wenu?
0 Reactions
5 Replies
14K Views
Leo katika kijiwe kulikuwa na mjadala ya kwamba, ukubwa wa kishogo (kisogo) unasaidia kutambua uwezo wa akili aliyinayo mtu, hususani mtoto. Moja ya wadau walidai ya kwamba, hata watoto wengi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
IJUWE KIU Unasubiri KIU ndipo unywe maji? Na je kiu ni?: NAMNA MPYA YA KUITAMBUA KIU: Ikiwa 'mdomo uliokauka au kiu' siyo kiashiria kikuu cha mwili kuhitaji maji, ni vipi hasa viashiria vya...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Thursday, 09 August 2012 21:32 Geofrey Nyang’oro MADAKTARI waliofukuzwa kazi na wale waliositishiwa leseni za muda wanatarajia kuanza kuhojiwa wakati wowote na Baraza la Madaktari...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello wana JF Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikikojoa mkojo mchafu sana tena unanuka kupita kiasi, nimeenda hospital mara kadhaa na kupewa dawa ambazo zilinisaidia kwa muda mfupi sana. Nimejaribu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
jamani wanajamvi natumai mnaendelea vizuri na harakati za maendeleo ya taifa. mi mwenzenu nawaomba mnijuze hatari ya hizi diclopa kwetu sisi wanawake maana mimi nnapoenda siku zangu huwa naumwa na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
UGONJWA wa homa ya nguruwe uliojitokeza mwaka jana umeua nguruwe 4,476 katika wilaya nane hapa nchini na kusababisha baadhi ya wilaya kuwekewa karantini. Hayo yalibainishwa bungeni jana na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MADAKTARI waliofukuzwa kazi na wale waliositishiwa leseni za muda wanatarajia kuanza kuhojiwa wakati wowote na Baraza la Madaktari Tangayika (MCT). Katibu wa Jumuiya ya Madaktari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
FLP Argi-Plus - A life-changing Arginine Supplement The bloodstream is literally the life blood of our body. Poor circulation is one of the most common health problems that if left unchecked can...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Nimeumwa gono zaidi ya Mwaka mda wote nilikua natumia dawa lakini huwa napata mafuu tu.Nilikuwa naomba ushauri na ikiwezekana dawa ambayo inaweza kuniponya.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wana ndugu.binafsi tatizo hili limenitokea koo linawasha kwandani ninapojaribu kukorota yani kulikuna najikuta nikitema damu.hata asubuh wakati wa kuswaki nikisugua ulimi hali hii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Samahani kwanza naomba kujuzwa chanzo cha jipu kutokea? Na pili naomba kujuzwa nifanye nini jipu limenitoka kwenye lip ya mdomo ya chini imekuwa kitendawili kwangu sijui cha kufanya!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nina girl friend wangu wakati tupo kwenye sex akifika kileleni mikojo inamtoka sijui hii kama ni kawaida au ana tatizo.please kama mnaweza kunisaidia kwa hili
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wanajamii. Mimi huwa nasumbuliwa sana na kiungulia, nikiwa mjamzito huwa kinazidi. Nini husababisha kiungulia? na ninini dawa ya kiungulia? Naomba mnielimishe!
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Hivi jamani kunakipimo cha kupima mimba cha siku tisa au nakuendelea naomba mnijuze?
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Back
Top Bottom