Naamini ni watu wengi sana wana tabia ya kuweke laptop kwenye mapaja na kuzitumia .binafsi nina tabia hiyo pia lakini nahisi kama ina madhara ffulani.naommba kwa anayeweza kutupa mwongozo katika...
Kungonoana au kungonoka na kufurahia tendo baada ya kujifungua inategemea zaidi na wewe mwenyewe (uponaji wako) na lini unadhani uko tayari vilevile ushirikiano wa kutosha kutoka kwa mume/mpenzi...
Habari zenu wana jamvi .Naombeni msaada nimuokoe mdogo wangu ni mwaka wa pili sasa anateseka. Alianza kwa kusema anaona wadudu wanatoka ukeni..Nikaogopa nkampeleka kwa dactari wa magonjwa ya zinaa...
Mimi nina umri wa miaka 19 nipo form 5. Ila inaniwia vigumu kuendelea vizuri na masomo kwa sababu za kiafya, ninahisi nina kisukari japo sijapima ila dalili zote ninazo kama miguu na mikono kufa...
uume kuingia ndani yaani kuwa mdogo pingili moja ya dole gumba la mkono, uume kusinyaa na kuwa mgumu. Maumivu makali kuanzia kiunoni mpaka mgongoni. Misuli ya mguu kuvuta. Nguvu ya kiume kupungua...
Habar wana bodi naombeoni kujuzwa ni nini hiki kinachojitokeza kwenye ulimi wangu kipindi ambacho nimekula chungwa au kitu kichungu chenye ladha ya limao kipele au kidonda humea katika ulimi kwa...
uume kuingia ndani yaani kuwa mdogo kama pingili moja ya dole gumba la mkono, uume kusinyaa na kuwa mgumu. Maumivu makali kuanzia kiunoni mpaka mgongoni. Misuli ya mguu kuvuta. Nguvu ya kiume...
habari za asubuhi ndg zangu.
Naombeni munielekeze ni namna gani naweza kufanya ninapofanya sex ili niweze kumaliza mapema au nisimalize mapema. naombeni michango yenu. natanguliza shukrani zangu...
Wana JF ningependa kujua kuhusu madhara yatokanayo na uvaaji wa miwani kwani nimekuwa nikisikia kuwa kuna madhara,na kama yapo madhara yatokanayo na uvaaji wa miwani(miwani ya macho) kuna njia ipi...
nasumbuliwa na uume wangu yaani unasinyaa nakuwa mdogo na mgumu ukiambatana na miguu kuwa kama misuli inavuta na maumivu makali ya mgongo na kiuno. Nimepima magonjwa ya zinaa sina, x-ray hakuna...
Naommba kujuzwa kuhusu hili,Hivi ninini kinacho mridhisha wmanamke wakati wa kujamiana. je niukubwa wa uume au unene,urefu wake.je nikwanini watu wengi wana tafuta dawa za kuongeza maumbile hayo...
Wakazi wa Mbagala Kizuiani wametoa kilio chao kwa viongozi wa Serikali ili waweze kuwasaidia kuwaondolea janga la wadudu waitwao Kunguni. Kilio hicho wamekitoa kupitia Times Radio. Katika...
Wadau mm nimezoea kula chakula huku nimesimama (breakfast,lunch, dinner)..
Sipendi kabisa kukaa....Kuna madhara yoyote?? Your advice plz
MziziMkavu karibu utoe uganga wako
Wanasayansi wanaoendelea na uchunguzi chanjo juu ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Ebola wameoambia BBC kuwa, chanjo inayoweza kutumiwa kuzuia maambukizi ya virusi hivyo huenda isifumbuliwe...
Wandugu,
Kwa miezi takribani mitatu mfululizo nimekuwa nakunywa dawa aina mbalinbali za amoeba bila mafanikio ya kupona. Ni hivi karibuni tu nimekunywa dawa aina fulani dozi mbili na kufanikiwa...
Naomba msaada kwa wataalamu wetu wa afya, hivi ni kweli haya mafuta ya ubuyu yanasaidia kuponyesha ulcers na pia yanasaidia kupunguza weight???? nashindwa kuelewa kwa sababu iweje mafuta yasaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.