Naomba msaada wenu wa ushauri au sememu nzuri ya kupata matibabu. Mimi nina tatizo la kuwashwa mguu wa kushoto mara kwa mara. Sehemu inayowasha ni chini ya goti ila juu ya kifudo cha mguu. Hamna...
Ugonjwa sugu wa figo hutokea pale figo zinazopoteza uwezo wa kutenda kazi unaotokea taratibu na kudumu baada ya kitambo fulani. Hali hii hutokea taratibu, na huchukua muda wa takribani miezi...
Just one can of the popular stimulant energy drink Red Bull can increase the risk of heart attack or stroke, even in young people, Australian medical researchers said on Friday.
The...
Hello !
Tunashukuru kwa kuwa sote tuu wazima na tunapumua bila kulipia hii pumzi.
Ni kuwa kuna watu wengi sana wanasumbuliwa na magonjwa lakini hawajui namna ya kuyatatua. Wengine wapo busy sana...
Miaka ya karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa vilivyojaa maji kwa jina la kitaalam ''Hydrocephalus'' na wenye mgongo wazi ''Spina Bifida''. Takwimu...
Hivi kwa nini kuna watu wanasema wanatoa sumu mwilini, kuna watu wanasema wana vipimo vya magonjwa 29, kuna watu wanasema wanatibu vidonda vya tumbo, kansa, sukari, HIV n.k.
Hawa watu...
dk nipeni msaada wenu, nikil chakula usiku nishibe ata nisiposhiba shida kubwa ikifika mida ya saa kumi alfajiri tumbo linajaa gesi nyingi sn, ivyo inanisababishia kujampa sn tena kwa sauti kubwa...
habari ya leo wana jf doctor,ngja nianze hivi mara ya mwisho nimehave sex mwez wa tano hapo,na nikashika mimba sasa nikawa natoa harufu mbaya sana ukeeni yani kiasi nikikaa na watu wanaisikia...
Tegu (Tapeworm) ni aina mojawapo ya minyoo inayosababisha ugonjwa unaojulikana kitaamu kama Cysticercosis na hii inatokana na kuwepo kwa viuvimbe vingi ndani ya viungo vya mwili vilivyojaa...
Mjadala umeanza katika maeneo tofauti kufuatia kuchapishwa kwa matokeo ya utafiti kuhusu ununuzi wa dawa zinazohitaji cheti cha daktari, ulioonyesha kiwango cha maelekezo hayo kutofuatwa...
Nimesoma taarifa fulani wanasema kwamba baadhi ya wanaume huwa wanakuwa na hamu ya kuingiliwa kinyume na maumbile, ukiachilia mbali tamaa ya fedha. Yaani mwanaume anakuwa na nyege kabisa ya...
Habari wanaJF wote nafikikiri nyote ni wazima.Je siku ya 24 katika mzunguko wa mwanamke(menstrual cycle) kuna uwezekano wa kushika mimba? Naomba maoni yenu wanaJF. Ahsanteni!
The Fetal Period (8 Weeks through Birth)
Chapter 37 9 Weeks: Swallows, Sighs, and Stretches
Play Movie | See Snapshots
The fetal period continues until birth.
Play Movie | See...
Wataalamu wanasema wamegundua kwamba mbegu za kiume huanza kwenda kwa kasi wakati zinapofika karibu na yai la mwanamke, suala ambalo huenda siku zijazo likasaidia katika kupatikana dawa ya kuzuia...
During sex ktk maeneo ya msichana wangu panakuwa pakavu sana hadi kero hata nikimchezea sana, je ni kweli kuna mafuta yanauzwa kwa ajil ya kulainisha? Msaada pliz
Wengi tumekuwa tukisikia, kujaribu, kuona, kuwahi ama kushawishi kwa namna moja ama nyingine juu ya suala zima la kutoa mimba.
Kunamambo mengi yanayoweza kupelekea mtu akafikia uamuzi wakutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.