Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Baada ya miaka hamsini ya uhuru ni aibu sana kwa hospitali ya mkoa ya morogoro ambayo imepandishwa kuwa hospitali ya rufaa kukosa huduma ya X-RAY. Kuna siku nikiwa kwenye daladala nilisikia mtu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Orgasmic Hell! Woman Suffers From 100 Orgasms Per Day Most women–we assume–would love the thought of experiencing multiple orgasms within a 24-hour time frame. Gabby Douglas: Teammates...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Would anyone help me to list local pharmacy in Dar? Thanks for anyone with details...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
post zangu mbona haztokei?
0 Reactions
2 Replies
915 Views
this happened years a go .. Homas Beatie, the world's first pregnant man - or male mother - has unveiled his new toned figure, just 12 months after giving birth to his third child in...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wataalam mwenza wangu amekuwa akikabwa na kitu shingo anasema nikama vile amekabwa na ugali au kiazi nisiku ya pili sasa,naomba kujua kukabwa huko kunasababishwa na nini? Na nini tiba yake...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wagomjwa wengi nchini hasa wale wanaosihshi na virusi vya Ukimwi wamekata tamaa na kuishangaa serikali ya nchi hii kwa kukosa vipimo vya CD4 kwa wagonjwa hao. Baadhi ya Wagonjwa katika wilaya ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
NIMEKUTA TAARIFA HIZI KATIKA BLOG YA Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima: MSAADA WA MATIBABU: NIKAONA NIVIZURI, NIIWEKE HAPA KUMSAIDIA HUYU MTU, INATIA UCHUNGU SANA. nASIKITIKA KUWA MTOA TAARIFA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi sisters and brothers, please watch out there is this deadly sanitary pad which is making ladies bleed to death,its name is DARIES"its unique in looks,its a new product in stores and it has...
10 Reactions
61 Replies
6K Views
Two Physicians Charged in 9 Pain-Med DeathsRobert Lowes Authors and Disclosures Medical Student Rating: ( 0 Votes ) Rate This Article: Print This Email this Share...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je unasumbuliwa na mojawapo ya tatizo lililotajwa hapo juu? Tiba imepatikana,haijalishi tatizo ni sugu kiasi gani hakika utapona na imesaidia watu wengi na wewe pia utarudi kutoa ushuhuda jf...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu poleni na majukumu. Jana nilikuwa Muhimbili Hospital na kati ya dawa nilizoandikiwa ni BACLOFEN ambay niliambiwa inapatikana Kariakoo kwenye Pharmacy kubwa. Bahati mbaya sikufanikiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I came across an article in the Tanzania Journal of Science by Professor Senzota. The article discusses how the 2011 rush for "miracle cup" caused some environmental damages. Here is the abstract...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
1.LISHE 1. Badilisha chakula chako kila mlo, lakini usile vyakula vya aina nyingi sana katika mlo mmoja. Iweke milo yako na chakula chako unachopakua kuwa rahisi. 2. Tumia zaidi nafaka...
2 Reactions
1 Replies
9K Views
Habr zenu,et dawa ya mbavu n ipi? Naumwa mbavu za kushoto,na huwa nahc kuungua chin ya mbavu hizo! Ntashukuru kama mtanisaidia
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani!!! hii hali ya Obesity hapa Tanzania serekali yetu wanaliona na wanaelewa athari zake na harama zake?huhitaji Rocket Science kuliona hilo.humjuwi nani mja mzito kati ya wananchi si...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
je nikimmwagia sperm mdomoni mwenzi wangu atapata madhara gani?...maana yeye huwa anapenda na analazimisha nifanye hivyo... kuna tatizo anaweza pata kiafya?
0 Reactions
76 Replies
105K Views
Salam wana jukwaa hili. Kuwa na mvi kuna wengine huusisha kama kuwa na busara,lakini pia kuwa na kipara wengine eti vya kuridhi. Mvi na kipara kuna sababu nadhani zinazosabisha...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Salam waungwana wa jukwaa hili. Kuna wakati unaweza kumuona mtu ana mvi ingawaje kiumri bado. Nadhani zaweza kutokea labda kutokana na maumbile ingawaje sina uhakika,pia kama kuna...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom