NOW, EAT SALT WITHOUT WORRYING:
Eat salt to keep heart disease at bay (Thinkstock photos/Getty Images)How much salt to include in our diets has always been a controversial subject, but a...
Mimi nina mpenzi wangu, kila ninapofanya tendo la ndoa kuna uchafu unatoka kama maziwa yaliyo ganda ambayo yanatapaka kwenye uume wangu. sasa wadau huu ni ugonjwa gani?
Nimegundua nasumbuliwa na hili tatizo la ugonjwa wa zinaa ambao nahitaji mtaalam kuweza kupata mamtibabu sahihi. Ni tatitzo ambalo limejificha sana na wengi wanasumbuliwa nalo ila hawajui tu hadi...
Habar zenu bana,
hivi kuna njia ya kupunguza maji maji ukeni coz kuna ishu ya wanaume kutoenjoy kufanya mapenz na wapenzi wao sbb ya hali hyo,kisayansi n kwel kuna hali km hyo?na soln yake n nn hasa
Wadau, nnaskiaga kuna kitu kinaitwa morning pills kwa wanawake. Naomba kujua matumizi yake na upatikanaji wake.
Ni swali kwa wanaojua na elimu kwa wasiojua kama mimi
habari JF
mtu akilala ubongo hufanya kazi zaidi ya ukiwa macho ambayo hupelekea other organs kufanya kazi ya ziada especially moyo...
Je hii ndo sababu ya ugonjwa wa kulala ovyo!?
Dokta naomba kujua ni kwa nn nikinywa maziwa freshi au mgando, mara baada ya muda mchache tumbo linanikata sana na hatimaye ni kuharisha vibaya sana. Naomba kujua hilo.
unapokua usingizini ubongo hufanya kazi zaidi ya ukiwa macho ambayo inapelekea other organs kufanya kazi ya ziada especially moyo...
Je hii ndo sababu ya ugonjwa wa kusinzia ovyo?
Wadau samahani. Naomba kujuzwa .. mtu anajipeleka mwenyewe anatembea hadi dispensari ya mtu binafsi. pale anaambiwa kapatikana na malaria sita. Anapewa ushauri alale mapumziko na kupata drip...
Ndugu zangu wataalamu au mwenye kujua hili tatizo la kuumwa na miguu naomba anisaidie ufumbuzi kwani wazee wangu (Mama na Baba) Miguu inawasumbua sana hadi nawaonea huruma!
Natanguliza shukurani
Wakuu, hii ni ya Taiwan kwamba wanataka kupitisha sheria kuwa na wanaume nao wawe wanakaa wakati wanakojoa. Kama tujuavyo wanaume wakiwa wanakojoa huwa kuna matone ya mkojo ambayo hurukia kwenye...
hali zenu, kuna dogo hapa home katokewa na vibarango usoni na kila siku vinazidi kusambaa. dawa yake ni nini na chanzo ni nini? please MziziMkavu na dr. Riwa help. . .
Kwa anayejua huu mmea kwa kiswahili na upatikanaji wake.nimesoma kuwa ni dawa ya vitu vingi.
Psyllium (also known as Ispaghula) is the name that is often used to
describe a plant called Plantago
Kuna tatizo gani linalosabisha mwanamke kutoa damu kila anapofanya mapenzi? Yeye anasema anashanga hata baada ya hedhi damu inaendelea kila kazi inapopigwa! Mbona hiyo discharge siyo kawaida?. Ni...
salam jf
ningependa kujua ni muda gani ni wa kawaida kwa mwanaume anapoanza kufanya mapenzi hadi ejaculation(the minimum required time before ejaculation) .na pia swali linaoendana na hilo ni...
Habari wandugu.Kuna rafiki yangu ana KITU KINACHOCHEZA TUMBONI kama Ujauzito,na amejaribu kupima haja ndogo kwa UPT hana Ujauzito.Amekwenda klinik ya wajawazito mapigo yapo na ametakiwa kurud...
Nimewahi kuwasikia wataalam wakisema kuwa japokuwa puchu ina madhara kidogo, lakini
ni bora kupiga puchu kuliko ngono zembe.....Na kwa maisha ya sasa pia gharama za ngono
zimepanda sana kutokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.