J'mosi nilifika kijijini na kukuta ni siku ya mnada wa ng'ombe na mbuzi.
Kawaida siku hii watu huenda mnadani kula nyama choma.
Nami nikajiunga kundini, nlijipatia kamguu ka-mbuzi.
TATIZO...
Nawauliza wataalamu wa masuala ya ujauzito, mwanamke mjamzito wamimba ya kwanza yenye mwezi mmoja anapoumwa na mgongo anapaswa kutumia dawa gani?
wasalaam
Hello jamii doctors,nimekuwa na tatizo la kutokwa na dalili za mba sehemu za katikati ya paja na testacles zangu,both sides.siku za nyuma nilipewa dawa ya kupaka zikapotea kabisa.mara hii zimerudi...
Wakuu hivi kunauhusiano wowote kati ya UTI kwa wanawake na kufanya mapenzi. Ktk kutafuta tafuta nasoma kuwa wanawake wakubwa (achana na watoto) wanaweza kupata haka kaugonjwa baada ya kufanya...
kuna jamaa yangu mmoja wa karibu juzi kaja ananiomba ushauri ni nini afanye hili kuondokana na tatizo lifuatalo
jamaa ana mpennzi wake anampenda na anavyosema mpenzi wake pia anampenda, lakini...
mkuu dr nisaidie kunamsemo unasema hivi ni kweli mwanamke akijifungua kwa njia ya kawaida maumbile yake yana aribika ndio maana siku izi ukitaka kujifungua unauwezo wa kuchagua operation au njia...
Wapendwa wana JF ,girlfriend wangu ni mjamzito hasa ukijua kwamba tulicheza karate nje ya dojo. napenda kujua ni jinsi gani ya kumuogesha mtoto mara baada ya kuzaliwa, na inachukua muda gani...
FROM THE DOCTORS HEART
Sleepless Nights,Big Bright lights,
I made books and blood my friends,
Had to know all the current trends.
I cried a lot,I suffered a lot,
Throughout the journey, I...
Kuna vinyama vidogo vimenitokea pembezoni mwa uume, haviumi ila ni vidogo vitatu, kama ambavyo wengine vinawatokea mikononi, usoni na sehemu zingine za mwili.
Mimi vipo pembeni kidogo na uume...
Jamani yamenikuta hiyo juzi! Nilikula nyama ya mbuzi kwenye bar moja hivi mimi na rafiki yangu.. Baada kama ya nusu saa hivi nikaanza kuwashwa mwilini sana... Mpaka leo ndio imepungua...
Jamani hospitali ya Muhimbili imekuja na matangazo mengi ya kuzuia kuchangia bomba la kujidunga madawa. Kwenye tangazo lao moja teja moja anakataa kushare bomba na anamwambia mwenzake akatafute...
Nimeona kuna mabadiliko kwenye sperms. Kwa kawaida huwa zinatoka zikiwa nyeupe na zikiwa nyepesi kama fluid. Now nimeona mabadiliko, wakati wa kutoka zinakuwa nzito alafu hazitelezi. Na kwa sababu...
Katika hali siyokuwa ya kawaida jamaa yangu anapolala anatoa mate yenye damu na mto anaolalia + mashuka yanakuwa na hali mbaya kama yamevujiwa na damu ambayo akifua shuka/fornya madoa ya damu...
Information on individual herbs
Aconite
Alfalfa
Allspice
Almond
Aloe Vera
Angelica
Anise
Apple
Apricot kernels
Arnica
Artichoke
Asparagus
Astragalus
Avocado
Barberry
Basil
Bay
Bayberry...
Habari zenu wana jamvi'leo nlipata simu toka kwa jamaa yangu flani akiniomba ushauri juu ya tatizo linalomkabili rafiki yake'kaniambia kuwa rafiki yake ana mke na ana watoto ana tatizo moja la...
naomba wajuzi wa mambo mnisaidie,mimi ni mtumiaj wa bia aina ya Tasker ya baridi kwa mda mrefu sana yapata miaka zaidi ya kumi,kuna mtu siku za karibuni kaniambia kuwa zinapunguza uwezo wa manii...
Jaman mi ninatatizo la kucheza/vibration kwa mishipa ya damu,ilianza kwenye jicho lakini sasa ni mwili mzima,mara kwenye kidole,mguu,paja,kichwani kwa mara tofauti tofauti kila cku,imenianza mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.