Niliambiwa mafua hayana dawa nimejaribu vumilia ila sasa ni wiki ya tatu nimeamua kumeza piriton doz ya 1mara2 kuna njia nyingine naweza fanya kwa sasa hali ya hewa pia ni barid nayo nadhani...
Naam! bila shaka itagusa wengi hii,
Edmark Café Ginseng Coffee Made from the natural blend of the finest Arabica coffee beans from Brazil and Columbia and Korean Ginseng extract.
The active...
Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha State University cha Jijini New York nchini Marekani umesema ya kwamba manii ni nzuri kwa wanawake kwani huwaondolea msongo wa mawazo.Pia watafiti hao wamesema...
kuna dawa ya kusafishia maji kama ilivyo water guard,inaitwa shabu,nimeona mtu anatumia kwenye jicho,lilikuwa limetengeneza ukungu,kwa mujibu wake inamsaidia,vp wataalamu,kweli hii ni dawa ya jicho?
Methamphetamine, like many other illicit drugs can harm your teeth fairly rapidly. Back in September, I wrote an article entitledSeven Ways Crystal Methamphetamine Ruins Your Teeth. That article...
Naomba kama kuna yeyote anaejua dawa ya kuzuia jino kutobolewa na wadudu kwani sasa jino limeanza kutoboka na nipigapo mswaki lazima damu itoke..nitumie dawa gani??
nahitaji kujua gharama za CT Scan kwa hosp za hapa mjini. Nilipata minor accident mwanzoni mwa week hii nahitaji kipimo haraka.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ndugu zangu wana jf naombeni msaada. Eti ni umri gani unafaa kumtahiri mtoto wa kiume? Kuna mtu kasema kumtahiri akiwa mdogo sana yaani below 1year ndiyo nzuri na kwamba kumtahiri baada ya hapo...
Habari zenu ndugu zangu Jamvini: Tumbo linaniuma sana sielewi tatizo nn haswa ikifikapo mida ya jioni, Nisaidieni plizzz nitumie Tiba ama dawa gani. Natanguliza Shukran za dhati.
Habari za jioni wanajavi?
Jamani kwa upande wangu naomba msaada wa kujua,ushauri,tiba nk kuhusu swala la mbegu za kiumeCsperms) naomba kujua namalizaje matatizo yafuatayo:-
1- kama mbegu ni...
Habari za jioni,nimekua nikisikia mara nyingi kuhusu kumuharibu mtoto anayenyonya(kubemenda).Naomba msaada wa elimu kuhusu hili suala,kwa watu wanaofahamu,inatokea vipi,na athari zake kwa...
Naomba mnisaidie madhara ya kutumia maharage ya soya kwa watu wazima na watoto wadogo na namna ya kuondoa sumu kama ipo kwa kua nasikia maharage hayo yana sumu.....
Heshima mbele,
Mini niasumbuliwa na jicho moja la upande wa kushoto linawasha sana hadi nahisi mishipa inauma. Hii imekuwa kwa mda kama siku nne. Kuna mda nakuwa nipo kawaida tu lakini nikilikusa...
Hello wana JF!
My wife wangu ameamuwa kumuachisha mtoto kunyonya baada ya kukataa kula chakula huku aking'ang'ania nyonyo tu. Ana mwaka na miezi mitatu. Tatizo maziwa ya Mama yake yamevimba na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.