Habari zenu wana JF, mimi ninatatizo ambalo limeanza hivi karibuni sijaenda kwa daktari au la ila tatizo lenyewe ni kwamba korodani zangu zinakuwa zinauma sana je ni sababu ya nini na nifanyeje...
Hiki kipele kimeota kwenye ngozi ya korodani, ni keupe na ni ngumu kwa kukiminya au kukishika, sasa kila nikijaribu kukikamua kinatoa usaha kwa mbali sana na pia damu inatoka si nyingi sana, na...
Naamini hakuna ila cha kushangaza ni pale wakati wa joto kali, mzazi analala bila nguo ila mwanae gubi gubi (kavishwa nguo nzito na blanket juu)
Inakuwaje hapo?
Hellow doctors please naomba msaada wenu.mara tu ninapoanza menstruation period huwa nakuwa na hasira za ajabu ajabu sana,tukipishana kauli kidogo tu na mtu yeyote ntamuwakia hatari.hali hii kwa...
Wednesday, 12 September 2012 19:50
Florence Majani
WAKATI wanasayansi wakiwa wanakaribia kukamilisha utafiti wa kuwezesha kupata tiba ya Ukimwi, ugonjwa mpya ambao unafanana kwa karibu kabisa...
Story:
Let's say it's 6.15pm and you're going home (alone of course), after an unusually hard day on the job. You're really tired, upset and frustrated. Suddenly you startexperiencing severe pain...
Dear Doctors,
ni matumaini yangu mumeshinda salama. Mie sina neno namshukuru Mungu. Naombeni kufundishwa namna ya ku encourage vaginal childbirth and avoiding C-Section, episiotomies and...
Story:
Green Tea has several amazing health benefits that include:
Fights cancer
Lowers Cholesterol
Pevents cavities
Protects against heart disease
Speeds metabolism
Prevents diabetes
Antiviral...
Wana JF habarini za jioni
Mimi nina miaka 31 sasa,hapo awali nilikuwa napiga mzigo kama kawaida ila kuna kipindi fulani nyuma (kama mwaka hivi umepita) nikatokewa na hali ya upungufu wa...
Do you have a laptop?
Beware!!!
Extreme heat from laptops can cause Toasted Skin Syndrome that may finally lead to Skin Cancer.
Stop using laptop over the legs.
Hoax or Fact:
Fact.
Analysis:
It...
Maana wamekuwa wakinichanganya kutokana na category na sifa zao kibaoloji kama ifuatavyo
( i) kunawengine wana matiti na uume tuu, hawana uke.
(ii) kuna wengine wana uume na uke na matiti kwa...
Kwa yeyote anayejua naomba anifahamishe ni njia gani sahihi ya kupima kisukari.
-Kupima pale unapopatwa na dalili au kabla ya dalili? Na ukipima kabla ya dalili unaweza kuonekana?
-Njia nzuri ni...
WAKATI wanasayansi wakiwa wanakaribia kukamilisha utafiti wa kuwezesha kupata tiba ya Ukimwi, ugonjwa mpya ambao unafanana kwa karibu kabisa na huo, umeibuka.
Adult-Onsets Immunal Deficiency...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.