10 Great Reasons to Drink Water
10 Great Reasons to Drink Water, and How to Form the Water Habit
We all know that water is good for us, but often the reasons are a little fuzzy. And even if...
Habari zenu wataalamu,
Nimekuwa nikijiuliza sana kuwa inakuwaje mtu hata kama umebanwa mafua vipi au kikohozi, yaani unapolala isingizi tu na yenyewe yanakata hata kama yalikuwa yale...
Waziri wa afya Dr. Hussen, amewataka waganga wa kienyeji wapeleke dawa zao NIMR ili zichunguzwe kama hazina madhara.
"Hizi dawa za kienyeji zimekuwa zikisaidia sana watanzania, sasa imefikia...
Hamjambo wakuu?
Nina niece wangu kazliwa 3 month ago na jicho moja likiwa slightly ndogo kwa lingine. Ni mapacha, mwenzie kazaliwa mzima bukheir. baada ya miezi 2 yule mwenye jicho ndogo akaaza...
Watafiti nchini Japan wamegundua jinsi seli za mfumo wa fahamu zinavyoweza kutumika kama seli mbadala zinazofaa kupandikizwa kwenye seli kongosho ili kutibu kisukari. Ripoti ya utafiti huo ambayo...
Kuharibika kwa chujio ama Glomerulonephritis ni aina ya ugonjwa wa figo unaoathiri sehemu maalum ya figo (chujio) inayohusika na uchujaji wa maji pamoja na uchafu kutoka katika damu. Sehemu hii...
Utafiti mpya uliofanyika nchini Marekani umesema ya kwamba kula machungwa na zabibu kunaweza kupunguza uwezekano wa kupata kiharusi (Stroke).
Utafiti huo uliangalia faida za matunda chachu (Citrus...
Mara baada ya Heka heka za migomo ya madaktari nchini na kusababisha huduma za Afya kusua sua mara baada ya zaidi ya madaktari 300 kufukuzwa na wengine wengi kuacha kazi serikali pamoja na...
JF doctor heshima iwe kwenu.
Tafadhali naomba msaada wenu wa kitabibu hili tatizo linasababishwa na nini na nini tiba yake.Mdogo wangu anasumbuliwa sana na tatizo hili alapo nyama tu mwili huanza...
Habari za jioni wanajamvi!
Naomba msaada wife ukufika wakati siku zake anapata maumivu makali ya tumbo
Na tarehe zimekuwa zikibadilika badilika
mf: alikuwa anaingia tar 21......kama miezi mi2...
Hello Mdau,
Mama mjamzito anahitaji kula vizuri na kufanya mazoezi vizuri ili aweze kutunza afya yake na ya mtoto vizuri.
Akina mama wengi hawafahamu kuwa ni vyakula gani na ni aina gani ya...
You don't have to acquire a taste for olive oil, seaweed or soya to maintain a low-fat, healthy diet. Indian cuisine can be healthy too, if it's cooked with oil and ingredients that take care of...
tangu nimejifungua sina0raha kila nikifikiria kunyonyesha maana chuchu zinauma mpaka nataka kuchanganyikiwa.
Mtoto akiwa ananyonya mwanzo niliambiwa nivumilie wiki2 zitakua zimepoa sasa ni mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.