Wakubwa heshima zenu.
Kwa kawaida mimba ikifikisha week 37 mtoto anakua amekamilika kila kitu na mama anatarajiwa kujifungua anytime.
Hata hivyo mama anaweza kukaa hadi week ya 42 bila kusikia...
Heshima mbele wakuu.
Ninaomba kwa wale wataalamu, nina mwanangu ana miaka mitatu, siku za hivi karibuni ameanza kukohoa sana haswa anapolala na akila wkt mwingine anatapika. Hospitali tumempeleka...
Kuna usemi kwamba, mama mjamzito anapofanya mapenzi bila kinga na kuruhusu mbegu za kiume kuingia, husababisha mtoto kuzaliwa na elements za manii hasa maeneo ya kichwa(kama mba)! Kama ni kweli...
Thursday, 20 September 2012 20:26
ZAIDI YA WATU 400,000 WADAIWA KUPEWA DAWA BANDIA NCHINI, MAMLAKA YA MADAWA YAAGIZA ZIONDOLEWE HOSPTALINI
Na Mwandishi Wetu [/FONT]
MAELFU ya watu...
Tumezoea kusikia kuwa Malaria ndio ugonjwa unaongoza kwa kusababisha vifo kwa watoto, na jitihada za kuudhibiti ugonjwa huo zinafanyika kwa kiwango kikubwa.
Lakini leo naomba tujadili kwa kina...
Habari! Kwa heshima na tahadhima nipo mbele yenu ukiwa/mkiwa kama mdau/ wadau wangu wakubwa ufanikishae mambo yangu mengi kwa namna moja hama nyingine, nina kazi naomba niwashilikishe mnisaidie...
Jamani nashindwa jizuia kabisa kwa watoto wa kike wa shule... sketi wanazovaa ni fupi na zina panda juu sehemu ya nyuma na kuacha mapaja yao wazi.... Hunivutia sana kimapenzi na kweli nashindwa...
Napiga mswaki kila siku kwa kutumia colgate. Upande wa nje wa meno yangu ipo safi na yanang'aa sana. Tatizo lipo upande wa ndani wa kila jino kwenye kinywa ambako kuna madoa meusi.
Hata nipige...
Nimekuwa na maumivu ndani ya sikio kwa siku ya pili sasa...hamna kipele wala uvimbe, ni maumivu tu ambayo nayaskia haswa niki-apply pressure kidogo, nisipoligusa sisikii maumivu yeyote!
what could...
Habari zenu wa jf naomb msaada wenu kwa anaejua au mwenye idea yoyote nina tatizo la kuumwa kichwa sio chote ni mishipa ya pembeni karibia na masikio inakaza na kuvuta sana inatokea sana nikiwa...
Bisphenol A is found in dozens of household items from sunglasses to food packaging
Scientists believe it interferes with the way the body processes hormones
A chemical found in baby...
Jamani wenye uelewa wa kutosha naombeni majibu, mimi ni mama wa watoto wawili, nina miezi kama sita tangu nifunge kizazi, sasa nataka kuanza kudu aka kuishi maisha ya kindoa kwani nina mume, sasa...
Wakuu nawasalimia na naomba msaada.
Umri miaka 50.Nina watoto 5 na mke,naishi DSM.Niliachishwa kazi mwaka 1 uliopita na nikawa nabangaiza mpaka siku kama 14 zilizopita nilipopata kazi upya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.