Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nauliza, hivi lips kavu na zinazopasuka pasuka ni ugonjwa??? Na kama ndio, nn tiba yake??
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Jamani hivi vivimbe vinaitwa sundo mnavifaamu? vimenitokea viwili miguuni. v inatokana na nini? dawa yake ni nini? nawasilisha kwa madaktari jamani
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kuna shirika moja lisilo la kiserikali, la Rural Future Vision (RFVi), linadai kamba kwa sababu ya kutumia sana earpiece/headphone kusikiliza muziki wa kwenye simu baadhi ya vijana wa leo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
...'KILA NIKIPATWA NA KAUSINGIZA HASWA WAKATI WA MCHANA, LAZIMA UUME WANGU NAO UTASIMAMA KWA MUDA WOTE AMBAO NAJISIKIA KUSINZIA,' mwisho wa kunukuu...hivyo ndivyo alivyosikika mwanachuo mmoja...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cancer cases on the rise among women Monday, 01 October 2012 21:44 By Zephania Ubwani The Citizen Reporter Arusha Tanzania has the highest cervical cancer rates in East Africa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Did You Know... That coconuts are oneof the wonder foods on earth that amply provides for all human needs? They caneven save your life! Few people (evenfewer doctors) understand how important the...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Cancer Update from John Hopkins This information is being circulated at Walter Reed Army Medical Center as well. Please circulate to all you know Cancer update John Hopkins -- Cancer News...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Habari wana Jf. Heb wataalamu wa macho wanijuze,kuwa eti macho au jicho kutetemeka kwa muda mfupi na kujirudiarudia,huwa inasababishwa na nini? Karibuni...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
HIV Is Not the Cause of AIDS By Peter H. Duesberg Science, Vol. 241, pp. 514-517, July 29, 1988. Human immunodeficiency virus (HIV) is not the cause of AIDS because it fails to meet the...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nina mdogo wangu kwa muda mref amekuwa na dalili kama za kisukari, miguu mikono sehem za uso nashingo huwa znakufaganzi yaani akijishka anajiona very soft na pia mapigo ya moyo humwenda mbio then...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanasayansi wa kijerumani wameeleza hakuna kitu kiitwacho HIV(virusi) chenye kuleta maambukizi ya virusi vya ukimwi, maelezo zaidi tazama katika link hii...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwenye medical ethics kuna kipengele cha kutotoa taarifa za mgonjwa hata kwa ndugu bila ruhusa ya mgonjwa. Pia ugonjwa wa mtu ni siri yako wewe na mgonjwa, hata madaktari wasiohusika hawaruhusiwi...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu habari. Naomba anayefahamu anakopatikana specialist wa matatizo ya wanawake hasa ya uzazi (gynaecologist) anisaidie. Itakuwa vizuri zaidi akiwa hapa Dar. Msaada wenu wakuu wife anataabika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natumia chandarua, lakini hazipiti wiki tatu bila kuugua malaria. Nimeisha tumia dawa za malaria (marafin, quinin injection) lakini hali inaendelea.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu,naomba tujadili.Kila mwaka maambukizi yanaongezeka licha ya elimu ya kutosha na utumiajia wa condoms. Mbaya zaidi waathirika huwezi kuwajua kwa mwonekano kama zamani baada ya kuja kwa ARVs...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau naomba kujuzwa, kuna hali ambayo sijaielewa vizuri kwamba kuna mdada ana ujauzito wa wiki ya nane inaenda sasa ila kila wakati labda kwa siku inaweza kumtokea kama mara 4 au 5 ni hali ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama nitamkwaza mtu kwa namna yoyote naomba mnisamehe. Huwa nasikia kati ya vipimo wanavyopimwa watu wanaojiunga na jeshi ni pamoja na kujua kama mtu amewahi kuingiliwa kinyume na maumbile kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Take a few drops of urine and let us know how you feelBy CHARLES WANYORO | Tuesday, September 25* 2012*at* 11:59 ****Font size:***A+|Reset|A-A Catholic father has been popularising urine therapy...
0 Reactions
2 Replies
312 Views
Hello Mwanajamii. Ni wazi kuwa watu wengi wanajishughulisha katika kupunguza uzito kulingana na ushauri wa kidaktari. Wapo wanaoweza kufanikiwa kupunguza na wengine walio wengi hushindwa kutokana...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hello JF Doctors, nina tatizo la jino kutoboka na nimeshauriwa kufanya root canal, ni nini hii kitu na je ina madhara yoyote?naomba maelezo kwa mwenye ufahamu juu ya hili
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Back
Top Bottom