doctors napenda kuelimishwa, inakuwaje mama anayenyonyesha haingii kwenye siku zake(bleed) lakini akifanya mapenzi anapata ujauzito? sayansi ya ujauzito inasemaje doctors?
Mimi ni kijana wa miaka 23 nimevutiwa na kufanya mazoezi ya viungo almaarufu KUPIGA CHUMA na sana sana nimejikita katika kutanua kifua(chest exercises), na arm exercises kutengeneza bisect na...
ALUMINIUM SALTS
Ni madini yanayoongezwa katika deodorant za kawaida 95%. Check on yours on
ingredients on your deodorant. Kazi yake ni kuziba matundu ya jasho hivyo
husababisha jasho na sumu...
Wanajamvi. Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa mlaji mzuri wa mayai mabichi kiasi kwamba ninakula mayai si chini ya manne [4] kwa siku. Naomba kufahamishwa iwapo kuna madhara yoyote.
Kuna tabia imezuka sehemu mbalimbali hasa uswahilini .......watu,wananchi wenye kipato kidogo, hasa wale wanaoshindwa kununua mafuta ya taa kwa matumizi ya kawaida, wameamua kuchoma mifuko ya...
Tafadhari wana jf na Doctors naombeni msaada wenu..nina shida tumboni mwangu nahic chakula kutosagwa ipasavyo kwa sbb mara zote nikila tumbo hubaki hivyo hivyo kwa muda mrefu sana..na mara nying...
Recently i was diagnosed with prostate infection, and i went into eight weeks treatment with cyprox,
its ten weeks now i still feel some of the symptoms, like lack of sex drive, prolonged...
Wadau.
Nimeshangazwa sana hi hatua ya TFDA kutoza gharama katika kuhakiki dawa. Nimekuwa nikitafuta vidonge nilivyoandikiwa na vinavyonisaidia bila kufanikiwa.
Nikapata mwana JF 1 akanitumia...
March 16, 2003
The Weaker Sex
By MAGGIE JONES
New York Times
Men start out ahead: 115 males are conceived for every 100 females. But it's downhill from there. • The male fetus is at...
Jamani nafahamu kwamba kongosho ni organ mahsusi katika kutengeneza 'insulin' ambayo hutumika ku'regulate sukari mwilini.Je mambo yepi hufanya hiki kiungo muhimu kuishi muda mrefu huku kikifanya...
Baadhi ya dawa za kukabiliana na makali ya Ukimwi
Huenda wagonjwa wa Ukimwi wakanufaika na dawa mpya ambayo itawawezesha kutumia tembe moja kwa siku. Hii ni kwa mujibu wa utafiti mpya nchini...
Forever Argi Plus
Forever ARGI Plus (Item# 320) includes L-Arginine, an amazing amino acid that is known for supporting many vital functions in our body: blood pressure, cardiovascular, immune...
KISUKARI NI NINI
Kisukari ni ugonjwa utokanao na ongezeko la chembechembe za sukari (glucose) katika damu. Ongezeko hili husababishwa na;
- Mwili kushindwa kutengeneza homoni ya insulin
-...
Wapi ntapata hii dawa kwa hapa dar..na gharama yake inaweza kua sh ngapi?nimeona niulize kuliko kupalamia hawa waganga wa jadi ambao wamejaa kila kona ya dar,na cdhani kama ni wa kweli.
msaada wakuu mwenye dawa au anaefaham ambapo dawa inauzwa ya kufanya miguu iwe ya bia kwani nashindwa kuvaa kimini cha msingi isiwe na madhara kwa badae
habari zenu wana jf,naomba mnisaidie haya mambo
1.ni zipi faida na hasara za kufanya mapenzi na mwanamke aliye na ujauzito.?
2.ni matatizo gani waweza pata ukifanya mapenzi na mwanamke aliye...
...Kuna ndugu yangu anaumwa,
ugonjwa wenyewe ndo umenifanya niombe msaada huku,
kila akifanya mapenzi na mumewe anapata maumivu makali
sana mpaka anashindwa na tumbo linavimba mpaka baada ya muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.