Mdogo wangu amekuwa akisumbuliwa na tatzo la mapigo ya moyo kwenda mbio kumbe ni Hbp.
Na mpaka sasa imemuathiri upande mmoja kama kiharusi japo sio completely kwan anaweza kufanya kazi kama...
habari wana jf doctor,mm nina tatizo kila nikifanya mapenz na mpnz wangu navimba uke kiasi kwamba siwezi kurudia raundi ya pili,na hata nikirudia anapokua anasugua nakua nimelowa sana tu,ila...
Nimekuwa na tatizo la kuteswa sana linapokuja swala kwamba naumwa mafua...hii imekuwa muda mrefu tangu niko sekondari.
taitzo liliongezeka baada ya kuwa kila nnapougua malaria lazima iambatane na...
habari wadau, ni karibu mwaka sasa ngoz yangu pemben mwa macho imekua na vidot kama vipele vyeusi (kama vya mh mmoja hv). Kila siku vinazidi kuongezeka na nnakua na wasi sana. Naombeni kujua...
POLYCYSTIC OVARIAN SYNDROME
A disease condition that every woman should know
By Dr Fredirick L Mashili, MD.
When it comes to appearance, women are often times more concerned with their looks...
Jf Doctor.
Mtoto wetu wa 7 amekuwa na tatizo hilo kwa muda mrefu sasa ambapo awali hatukujua kimachomsibu ila tuliona anapata tatizo la kuumwa tumbo kila wakati tukienda kwa Doctors wanamchek na...
Nime crack enka yangu tangia march, baada ya x ray niliwekewa pop kwa wiki nne maumivu yakaisha ila mpaka leo uvimbe kwene enka bado upo. Naombeni ushauri.
Mimi ni kijana niliyehitimu elimu ya chuo kwa miaka kadhaa iliyopita. Kwa ukweli nimekuwa nikiishi maisha unyonge wa hali ya juu sana kutokana na background ya maisha ya familia niliyokulia. Kwa...
Wanajamvi heshima kwenu,
naombeni kuuliza kuna madhara yoyote yatokanayo na kupima afya kwa kutumia computer inayoonyesha magonjwa yote mtu aliyonayo mwilini mwake?
Nisaidieni wandugu,
Mm ni mwanamke,nimeolewa,naomba msaada nifanyeje ili niinjoy tendo la ndoa,maana naona hufanya tu ili mume aridhike,japo yeye akinifanyia kitu kimoja huwa nafurah lakin ckipendelei sn weng...
Yule mgonjwa wangu wa Kansa niliyekuja kuomba ushauri humu ndani kama kuna tiba ya Kansa ya Ubongo hapa Tanzania, Amefariki dunia saa saba usiku wa kuamkia leo.
Kuugua kwake kumenifanya niamini...
Jamani, please help,
Ugonjwa huu unashambulia uume wa mwanaume kati ya kichwa cha uume na ngozi inayounganisha makovu ya sehemu iliyotailiwa. Kunakuwa na maumivu na uozo kama mafua. Angalia picha...
salaam wana jf.
naombeni msaada wa haraka.
kuna ndugu yangu anakusa pumzi,unakuta anaanza kukoroma kama mtu aliebanwa koo, then analegea mwili wake baada ya muda unamuona anakakamaa anajinyosha...
Samahani wapendwa kuna rafiki yangu ameona siku zake leo ni siku ya kumi na moja na haoni dalili za kustop na anasema alivyokuwa anaanza alitoa damu nyingi sana akichanganika na mabonge.
Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.