Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

kwanza nasema asanteni sana wataalam wote kwa kutupa tiba bure humu jf. ndugu zangu mi nina tatizo la KUTOKWA NA JASHO SANA KWAPANI, hali hii inaninyima raha sana. Mwanzo nilikua natoa harufu ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
niliwahi kusikia mara mbili au tatu kuwa mtu anaweza kuwa na +HIV na akasex na mtu aliye Negative bila kinga na kutopata maambukizi, inawezekanaje? am comfused
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau ivi tupeane ukweli kama kutumia Condom kunazuia ukimwi kweli, mi kuna wakati kwenye vile vimeo visivyoeleweka huwa natumia hata condom 2, ivi inaweza kusaidia kweli au hawa jamaa...
0 Reactions
17 Replies
14K Views
I Vichangizi vya mwenedo mbaya wa maisha (lifestyle factors) ya kila siku kwa wanawake, huchangia wanawake kuacha kupata hedhi, hii ni kutokana na utafiti uliofanya na kituo cha utafiti wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ugonjwa wa malale ambao kwa kitaalamu hujulikana kama Human African Trypanosomiasis au African lethargy au sleeping sickness na Congo Trypanosomiasis ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea...
0 Reactions
0 Replies
13K Views
Salaam wana JF. Ningependa kujua, ni njia zipi naweza tumia, (bila DNA Test) ili nithibitishe kuwa mtoto ni damu yangu halisi. Mwenye kufahamu hili anijuze. Asante.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
WanaJF naomba mnisaidie. Nataka kufanya DNA matching na watoto wangu, Wapi naweza kupata huduma hiyo hapa Tanzania, kwa utaratibu upi na gharama zipi.Asanteni kwa msaada wenu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dear Doctors and Knowledgeable Members :D, good Morning!! My one month old son has undergone circumcision. To tell you the truth it was done while I was out for a walk because my mother-in-law...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
habar zenu nauliza nini husababisha shahawa kuwa nyekundu au nyeusi maaana mme wangu anatatizo hilo sasa sijui kama ni tatizo au ni kawaida, msaada plse
1 Reactions
41 Replies
10K Views
Naomben msaada wale wapumbavu wanaoendekeza mizaha naomba msichangie.
0 Reactions
33 Replies
16K Views
habari zenu wana jf shida yangu kubwa ni kwamba nina siku tatu kila nikila chakula si asubuhi nikinywa chai au mchana pia hata usiku napata maumivu makali ya tumbo pia linavuruga sana na...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Nataka kufahamu kama mtua atapata kidonda katika kichwa chake cha uume n nini kinasababisha .
0 Reactions
14 Replies
12K Views
Nimeona niwamegee kidogo wanawake juu ya matunda muhimu ya kula wakati wa ujauzito. Papai ni tunda ambalo mwanamke mjamzito hatakiwi kulikosa angalau kwa siku mara moja. Usiache kutumia matunda...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Am i pregnant??please help...!!!!nipo katika kipindi kigumu sana niko katika mahusiano ambayo toka mwanzo tulikubaliana kabisa masuala ya kupata mtoto ni mpaka tuwe tayari na kwa muda wote...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Mama yangu alikuwa na maumivu makali kwenye goti, alivyokwenda hospitali MOI aliambiwa kuwa fluid ambayo huwa inakuwepo kwenye goti ili kuzuia msuguano wa mifupa imekwisha, hivyo solution pekee ni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
heshima kwenu wakuu?? Mim nimekuwa member mzuri sana kwa kufuatiria thread za wadau hapa jamvini na kila coment wachangiazo wadau humu ASALI lazima itahusika. Kiukweli walio wengi hugaramikia...
6 Reactions
21 Replies
6K Views
Hii si viagra ambayo inaleta maumivu ya kichwa,mafua na kupeleka mapigo ya moyo kasi na kudumu kwa muda mfupi mwilini.ukifk duka la dawa haswa yale makubwa siyo ya dawa baridi ulizia...
2 Reactions
27 Replies
13K Views
Heshima kwenu Dr wa JF, Mimi ni msichana wa miaka 20, ukweli namshukuru Mungu ameniumba vizuri sana! Ila ninashida moja! nimepoteza sana uwezo wa kusikia! Masikio yangu hayatoi usaha wala nini...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu kwa heshima yenu naomba mnisaidie kuirudisha furaha ya mchumba angu ilopotea tangu aanze kusumbuliwa na tumbo. Tulifuatilia hospital wakatuambia dawa ni kumtandika MIMBA Ndo atapona! Tatizo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom