Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Obesity Key facts Worldwide obesity has more than doubled since 1980. In 2008, more than 1.4 billion adults, 20 and older, were overweight. Of these over 200 million men and nearly 300...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi. Swali, mwanaume kuwa na mpododo mkubwa je ndicho kinachomfurahisha mwanamke/kumfikisha kwenye apex? nauliza hv kw sababu naona dawa za kunenepesha mipododo imekuwa so marketable nowadays
0 Reactions
4 Replies
4K Views
a.salaam wana jamvi............. nauliza kama kuna madhara au faida yoyote ya kutumia maji ya kisima ya chumvi?? maana kuna sehemu nimepangiwa kazi ni maji ya chumvi kila mahali hamna kabisa maji...
0 Reactions
4 Replies
13K Views
BODI ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar imefanikiwa kukamata tani mbili za tende zilizokwisha muda wake katika maghala mawili Mjini Zanzibar.Tende hizo zimegunduliwa zikiuzwa na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Anaitwa Dr. Alice,ni mtaalamu wa tiba mbadala kwa kutumia vyakula na matunda.Nilipata kutizama kipindi chake Star TV ila nilishindwa "timing" katika kuchukua namba zake,mwenye contacts za huyu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
pedi salama kwa wanawake utafiti wa kitaalamu unaonesha kwamba matatizo ya hedhi,kukoma kwa hedhi na vimbe katika kizazi yanazidi kuongezeka moja ya sababu ni matumizi ya pedi zisizo salama,pedi...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
wale ndugu zangu wanye fangas sugu na miwasho isiyo koma,vipele,chunusi,ngozi ngumu kupindukia dawa hyo hpo chini find me ma email jembe86@gmail.com
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Leo nko soo restless cha ajabu siko bored kabisa kwa lolote sasa nini husababisha hili??na nini solution yake???
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wana JF, Hivi ni kweli mwanamke anaweza kupata mimba akiwa na bikira hata kama haijaondolewa? mara ya mwisho binti flan aliniambia ana bikira nikajitahidi sikufanikiwa nikajikuta manii zinanitoka...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Kama vagina yako ni ya moto sana je ni tatizo hilo? Inaamaanisha nini ikiwa ya moto?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
TEL AVIV (Reuters) - Israel-based Neuronix, which has developed a non-invasive medical device to help to treat Alzheimer's disease, expects the system to be approved by the U.S. Food & Drug...
0 Reactions
1 Replies
806 Views
Jamani Ka-uncle kangu kanasumbuliwa na ugonjwa ambao mpaka sasa haujajulikana mahospitali, vituo vya maombi tumemaliza, nashawishika kuhamia tiba mbadala za asili na jadi.Mwenye kujua mganga...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna wakati mtu unaweza ukajikuta unahisi mwili kama unaungua moto. Hii hutokana na nini? na ni namna gani ya kuweza kudhibiti?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF na Ma dr nawasalimu wote. Napenda kufahamishwa kuhusu baadhi ya dawa mfano Ampiclox umeandikiwa 1x3 ikiwa na maana asubuhi kidonge kimoja,mchana kimoja,na jioni kimoja.Kuna dawa za maji...
0 Reactions
6 Replies
13K Views
Pedi salama kwa wanawake utafiti wa kitaalamu unaonesha kwamba matatizo ya hedhi,kukoma kwa hedhi na vimbe katika kizazi yanazidi kuongezeka moja ya sababu ni matumizi ya pedi zisizo salama,pedi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama wewe ni miongoni mwa wanaokosa raha kutokana na matatizo mbalimbali ya tumbo mfano gas, vimbe, mmeng'enyo mzima wa chakula kutokwenda inavyotakiwa ikiwa ni pamoja na kukosa choo kwa muda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wataalam mke wangu anasumbuliwa na tumbo chini ya kitovu yaani linabana sana,je naweza kutumia dawa gani ili nimnusuru naomba msaada tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
FOREVER BRIGHT TOOTH GEL Bidhaa ya kusafisha meno iliyotengenezwa kutokana na stabilized Aloe Vera Gel pamoja nabee propolis hivyo huua bacteria na vijidudu vyote. Inangarisha meno bila kuchuna...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Salama wakuu.ningependa kujuwa mathara ya kula mirungi na faida yake.niliwahi kula sana mombasa na wala sikuona athari zake kwa mm binafsi..sasa nataka niache uraibu wote nianze kula mirungi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
JE WAJUA.??? NYANYA NA VIAZI Leo nikiwa Kwenye maktaba ya Nyumbani nikawa najaribu kuchimba kujua asili ya baadhi ya viungo vya vyakula vyetu Kama nyanya, vitunguu, biringanya, hoho Na vinginevyo...
2 Reactions
48 Replies
22K Views
Back
Top Bottom