Siku hizi limekuwa ni jambo la kawaida kuwaona vijana kuanzia miaka 24 wakiwa na mvi kichwani. Asili inatuonyesha kwamba watu wanaoota mvi ni wazee. Je, kitu gani kinasababisha watu waote mvi...
Naomba usikilize tangazo lao linavyotuzalilisha waafrica, linaonesha kuwa wakati dunia nzima inahangaika kushughurikia mambo ya muhimu Africa tuna-party na coca cola. Lile tangazo huwa nakasirika...
Wanajamii Forum mliopo mjini Arusha naulizia ni hospitali gani hususan ya private wanatoa huduma nzuri kwa watu wenye matatizo ya uzazi 4 both me&ke. Msaada tafadhali.
Kwa wale ambao ni wafuatiliaji wa mambo mbali mbali yanayohusiana na silaha za kibaiolojia, watakuwa wanajua ni namna gani ambavyo silaha hizi zinafanyiwa majaribio.
Nakumbuka wakati flani...
Wataalamu tunaomba ushauri wenu.Je kuna madhara gani kwa kutunga mimba wakati mwanaume akiwa anaumwa au anatumia madawa makali?Chukulia mfano anaumwa malaria,kifua,typhoide na anatumia dawa za...
Ni ukweli usiopingika kuwa ndoa nyingi zimepoteza furaha kutokana na watoto kukoseka miongoni mwa wanandoa. Wanawake na wanaume wamejikuta wakiangukia katika mikono ya matapeli wanaojiita waganga...
jana katika hali isiyo ya kawaida wapelelezi kutoka shirika la madawa na chakula TFDA wamepembua pharmacy mbalimbali hapa mjini MOROGORO dhima hasa ikiwa ni kucheki hali ya dawa ya mseto, na...
TIBA MBADALA YA MAGONJWA SUGU
Kama inavyofahamika katika jamii yetu kuna watu wengi ambao wamekumbwa na magonjwa yanayotajwa kuwa hayana tiba na wengine wapo njiani kuambukizwa maradhi ya aina...
Kipimo cha CT-Scan katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kimeharibika na kusababisha usumbufu mkubwa kwa baadhi ya wagonjwa wanaoandikiwa kwenda hospitalini hapo kwa ajili ya kufanyika...
Subject: HIV and AIDS:
Correlation but not causation
[Published and copyright Proceedings of the National Academy of Sciences U.S.A., Vol. 86, pp. 755-764, February 1989, Review", with this...
nawasalim woote wana jf. Naomba kujuzwa ni vyakula vp hasa mwana mume anaweza kuvila kuboresha ndoa yake badala ya kutumia dawa za kichina na zinginezo ambazo zina sadikika kuleta madhara...
Whether its a large cup of coffee at breakfast, a soda at lunch or a mid-afternoon energy drink; regular endorphins dont always suffice the weekday routine. Austin may be one of the healthiest...
Mwaka jana nilipanda bodaboda, gafla bodaboda ile ikaanguka na mimi nikafanikiwa kuruka na kumwacha dereva na ile toyo.
Mara baada ya kuruka nilijisikia maumivu kwa mbali maeneo ya goti lakini...
Hello wana JF na FJ Doctor.
Kuna dada hapa offisini kwetu akivaa viatu vyenye soli hata nchi mbili tu magoti yanatoa sauti kama ya ile inayosikia mtu akivunja vidole (eehn jamani lugha ngumu...
Habari zenu: mimi ninatatizo moja mara kwa mara nikila pilau kesho kesho yake naharisha halafu tumbo nalisikia kama linawaka moto Kuna mtu mwingine huwa anajickia kama mimi namimi pilau nalipenda...
Kama huridhiki na unacholipwa nyumbani, unaweza ukajaribu Namibia. Bila shaka balozi ya Namibia Dar es Salaam itakuwa na taarifa za kutosha.
More foreign doctors coming
RUNDU– The Ministry...
nimekuwa nikisumbuliwa na aina mbalimbali za nematodes tangu mwaka 2005.Nimetumia dawa mbalimbali lakini bado tatizo lipo na huwa naambiwa hao nematodes wamekuwa sugu mpaka wanatengeneza cyst ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.