jamani kama kuna dawa ambayo unaweza kutibu jino bila kuhitaji kuling'oa. Nilishawahi kwenda kwa dokta akaniambi kuna jino linaota then linaukandamiza ufisi akaishia kunipa dawa za kutuliza...
Habari wahesmiwa,mwezenu ni na hitaji msaada wana jf,toka nianze kufanya tendo la ndoa c jawahi kuic tamu la tendo,najitahidi kueka akili ktk tendo na kuvuta hisia lkn c hisi tamu,naitaji suluhu...
Salam kwa wana jf wote wa jukwaa hili. Napenda kufahamishwa toka kwa wataalam wetu kuhusu ikiwa ugonjwa huu unaweza ambukizwa.
Pia ikiwa wana ndoa au mmoja wao akawa anaumwa UTI halafu akafanya...
Sina shaka na uzalishaji wa mbengu zenye genes zote. Swali langu ni, je kuna ukweli wowote kuwa mtu mwenye korodani moja (kutokana na nyingine kuondolewa kwa sababu za kiafya) huzalisha kiasi...
Hali hii imekua ikinitatiza kwa muda sasa, jinsi mataifa masikini na yenye hali duni yakiwekwa kwenye kivuli cha maradhi. Kubwa kuliko yote ni hili gonjwa la malaria, na pengine Ukimwi pia jinsi...
Mda mref nmekuw nksumblw na tatz la mwl kupata joto hasa kwny vgnja na unyayo huwa nataman kushka v2 vya bard.Nahuwa nackia maumvu hasa kwny joint na nkfanya kaz ngum kdg huw na choka...
Kuna watu wengi nimewaona ambao ni vilema mguu mmoja wengi wao wanasema kilema walikipata wakiwa wadogo baada ya kuchomwa sindano za chanjo,je kwanini inakwa hivyo?
Wadau habarini za jioni. Mie naombeni kuuliza manake nashindwa kuelewa eti chanjo za polio hamna nchi nzima?
Mtoto wangu alipokuwa na wiki moja alipokea shot ya BCG na Polio drops. Ila hakupata...
Hi great thinkers!
Jamani kwa anejua anijuze kuna baadhi ya wanaume kucha zao zinakuwa kama vile zimepakwa hina
yaani unakuta nusu ya ukucha inakuwa na ile rangi ya kahawia,hii husababishwa na...
Kifo hakina muda wala siku, hakina saa wala dakika. Kifo hakina mahali wala eneo, bali hutokea popote. Leo hii unaweza kudhani utafia Tanzania, ukajikuta umefia kwenye misitu ya Amazon. Hata...
Sukumawiki (pia: sukuma wiki) ni aina ya kabichi isiyoumba 'kichwa' na inayoliwa sana katika Afrika ya Mashariki, hususa nchini Kenya. Inatengenezwa kwa kutumia majani mabichi yanayopikwa. Lakini...
Wasaalam wakuu wangu,mimi uwezo wangu ni goli moja tu na huwa najitahidi kucheza na feeling zangu ili walau nimfikishe mwenza wangu kileleni na ikitokea siku sex ni tamu sana uvumilivu huwa...
Masturbation is not unhealthy. In fact, it is a natural way that you express and explore your body and sexual feelings.
It is held in many mental health circles that masturbation can relieve...
Ninatatizo la kuumwa kichwa hasa ninapokuwa na matatizo ya kifamilia, shule n.k.
Tatizo linazidi kadri siku zinavyoenda naweza nikaumwa hata wiki dawa za kutuliza maumivu wakati mwingine...
Dear Doctors,
leo asubuhi wakati najiandaa na namuandaa baby wangu twende clinic kuna hali flani ilinijia na nikawa siwezi kufanya chochote. It was very very sudden na ilianza kwa goose pimples...
Nina tatizo la kutokuwa na mzunguko wa hedhi ambao ni regular, kuna wakati unakuwa baada ya siku 26, 27,28,29,30,na 33 kwa kifupi naweza kuwa na mzunguko mfupi au mrefu na hauna mpangililio. kwa...
naomba kujua sababu kuu ya uono hafifu ktk umri mdogo na kama naweza pata ufumbuzi. Yaani niko below 30 navaa mawani -2.5. Je naweza rekebisha hili tatizo?
Ahsanten kwa msaada jamani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.