mimi ni kijana ambaye nina miaka 39! tatizo langu ni kwamba joint za vidole vya miguuni na mikononi pamoja na vidole vyenyewe vinaniuma sana kama vile nimekimbia sana na kufanya mazoezi na ninakua...
naomba ushauri wenu mi ni mnywaji mzuri sana wa chai na kahawa (haswa chai) sasahuwa nikinywa hivyo vinywaji huwa nakojoa sana,sasa hilo laweza kuwa tatizo??na je kuna tatizo lolote laweza nipata...
Kuna mdada mmoja mkenya aliumwa 2 weeks saa hizi nyumba hajalipa gari umeme na maji an simu .na kazi Hana Leo kuna kikao cha kumchangia.maisha gani hayo siheri Arudi Kenya tu .unaumwa week 2 tu...
Habari waungwana...nauliza
1,hospitali gani wanafanya hiyo surgery?.
2.inagharimu kiasi gani?
3.efficiency yake ukilinganisha na kuvaa miwani ikoje?
mjuzi yeyote naomba afafanue hapa au PM...
Mwenzenu nafuga mbwa wawili nyumbani kwangu ambao nawapenda sana na ninawahudumia kwa chakula na mahitaji mengine kama malazi na matibabu. Leo nimekuwa na kazi ya kuwaogesha kwa dawa mimi...
Hii leo katika jamii tofauti utengenezaji, uzalishaji pamoja na matumizi ya pombe, yamekuwa yakienea kwa kasi licha ya kinywaji hicho kuharamishwa na ushahidi wa tafiti mbalimbali unaoonyesha...
Ni dawa ya asili ambayo ina karaha kidogo yaani yataka moyo,
huwezi kuamini ndani ya masaa machache unakuwa umeshapata
nafuu.
Inafanywa hivi,
Chemsha maji yawe ya moto kiasi ambacho mtu anaweza...
Nimenotice kitu kipya ktk mwili wangu kuwa kila niamkapo asubuhi huwa nimebadilika rangi ya mwili kuwa nyeusi kama sehem iliyovilia dam na viganja navyo huwa vyeus kama nimegusa masinzi ila after...
Nina mke wangu ni mjamzito wa miezi mi 4 anasumbuliwa na tatizo la kuwashwa na kutokwa na harufu kali sehemu za siri(ukeni) je nini tatizo? Alienda hospitali wakamchoma sindano ila tatizo bado...
wakuu heshima kwenu, mimi ninatatizo japokuwa sina uhakika kama ni tatizoimani nitapata majibu mazuri, lakini kwa kuwa ninaamini huku kuna wataalam wengi wa afya nina mimi ni kama mwezi wa nne...
Tatizo la Unene Uliopitiliza (Obesity)Tatizo hili la unene uliopitiliza kuliko inavyohitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini. Njia rahisi na inayokubalika ya...
Namtafuta Dr Karim, nasikia ni daktari mzuri sana kwa tohara za watoto, nimeelekezwa yuko upanga lakini aliyenielekeza hajui ni upanga sehemu gani, kama kuna mtu anajua sehemu clinic au hospitali...
habari wana jamvi.?
Jamani mwenzenu nina matatzo yafuatayo mwilini mwangu:-
1.majipu madogo mapajani..
2.mafua ya mara kwa mara..
3.homa za mara kwa mara..
4.maumivu ya koo mara mara...
Jaman wakuu, naombeni mnisaidie ntafanyaj kutoa huduma ya kwanza kwa mtoto aliye paliwa? Jana mtoto mmoja alipaliwa hapa nyumbani and i was helpless iliniogopesha sana
Nina mpenzi wangu anakaa miezi
miwili no bleeding mara baada
ya
mwezi mmoja,siku zingine
anakaa
hata 6 months napia wakati mwingine
hutokwa na damu nyingi sana
mpaka kufikia kuanguka na...
wadau
nimempigia simu my nikka leo kumjulia hali....akawa anaraha kabisa...akanieleza kuwa usiku uliokwisha alipata kilevi katika baa moja baada ya kilevi kukolea na mishebeduo ya bar maid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.