Habari zenu wana jf. Samahani ndugu zangu naomba kuuliza kwamba hivi mwanaume na mwanamke wakiwa wana blood group moja wanaweza kupata mtoto? yaani kwa mfano mwanaume ana group O positive,na...
Nimeipata hii article toka kwa about website nikaona si vibaya nikaiweka hapa,
As you already know, women are encouraged to take folic acid supplements while trying to get pregnant, primarily to...
Tafsiri za maneno rampant caries ni nyingi katika fani ya meno lakini la msingi ni kuoza kwa meno kunako enea kwa kasi na kuharibu vichwa (crowns) vya meno mengi au yote yaliyoota. Hii ni hali...
WanaJF.Nimekuwa nikijiuliza muda mrefu kuhusu ugonjwa wa ukimwi na tiba yake kwamba mpaka sasa bado hauna tiba bila kupata majibu ya kitaalamu kwamba kwanini ugonjwa huu hauna tiba na sasa ni...
napatwa na maumivu baada ya kukojoa, nmekwenda hospitali mbalimbali nmepima mkojo na damu zaid ya mara tano syphilis naambiwa cna sehemu zote hzo, mkojo naambiwa pus cells 5-10 hpf ambazo naweza...
Naomba unisaidie kunipa ufaamu zaidi juu ya ugonjwa wa afya ya akili ambao usababisha na Sonona, kiini cha sonona, sababisho la ugonjwa , athari zake na tiba kwa ujumla
Wakuu salaam sana,najiuliza sana hili swali kila mara inamaana hawa wanasayansi wameshidwa kuvumbua kinga ya kuzuia malaria kwamba mtoto akizaliwa anapigwa tu hiyo na hata mbu wamuuje hawezi umwa...
Kampala/LUWEERO
One more person succumbed to the Ebola virus yesterday, bringing the death toll in the latest outbreak of the dreaded haemorrhagic fever in the...
Habari wanajamii
mi nataka nifahamu kitu kinachosababisha malaria kuwa sugu na tiba yake ni nini.Vilevile kama kuna mtu
anafahamu madawa ya mitishamba ambayo yanatibu kweli malaria sugu na si...
hey memberz hv wat happen if woman aktoa mimba tena yenye miez mi5 then after 2 months akapata nyngne then akataka kuitoa at age of 4 months, wat will happen 2 her........???
Wadau, sina hakika kama swali hili limeshaulizwa humu au vipi. Naomba msaada wenu. Nina miaka zaidi ya 50 na nina myomas kwenye kizazi yananisumbua sana na yanasababisha nisifike menopause...
heshima kwenu wanabodi.nimeambiwa na rafiki yangu kuwa simu aina ya blackberry inasababisha matatizo ya ngozi kwa mtumiaji hasa kuwashwa na kutokwa na vipele.Anasema amesikia kutoka kwa Odhiambo...
Kuna hivi vidonge vinaitwa PREGNANT CARE kwa ajili ya kina mama wajawazito, je kuna yeyote mwenye taarifa zake hasa kama vinaleta madhara kwa mtumiaji, ama vinasaidia kweli ama ni biashara tu...
Leo nimesikia kupitia kipindi cha BBC asubuhi kuwa huko Kenya kumeazishwa club za kucheka ambapo wapo hukusanyika na kucheka kwa masaa kadhaa. Mwenye hiyo club alihojiwa na kudai kuwa kucheka ni...
Karibuni kwa matibabu ya kinywa na meno na ushauri -nipo njombe mjini mtaa wa pamba nyepesi nyuma ya stendi kuu-kliniki inaitwa kiyoya dental clinic-karibuni
Habari zenu Wataalam naombe msaada plizzz:
Najikuna sana sehemu za siri nashindwa kujizuia hata nikiwa mbele za watu mpaka aibu
Some tymz inabidi nijiibe pembeni kwenda kujikuna nahisi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.