Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ilikuwa tarehe 10.11.2012 nikahisi maumivu ndani ya pua kwa ndani kabisa yaani kama allergy hivi. Kesho yake nikahisi baridi, kichwa kuuma, mafua na nikipenga kamasi ni za kung`ang`ania baada ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ninao umri wa miaka 29, kijana wa kiume, nimemaliza chuo kikuu, nafanya kazi Dar. Ninayo matatizo makubwa ya kiafya, husasi suala la uzazi. Kwanza kabisa, uume wangu ni kama wa mtoto...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
wadau hebu nipeni jibu la hili swali....huwa nasikia wadada wengi katika stori zao wakisema pindi wanapomaliza kushiriki tendo la ndoa huwa wanaumia sehemu ya chini ya tumbo....hii husababishwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau kuna mgonjwa nipo nae job mwezi wa pili sasa, anasema anasumbuliwa kuwashwa na kuchoma choma sehemu nyeti, pima mkojo hakuna kitu, pima VDRL hakuna kitu, ikabidi nimpe dawa za antifungus...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Inapunguza nguvu za kiume na mpaka kufikia nyoka kuwa nyoka wa kibisa (hana madhara). Maana watu 3 wameniambia kitu kimoja pindi wamenikuta nafanya kazi. Kama ni kweli, naomba kufahamu madhara...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
"Tomorrow morning," the surgeon began, "I'll open up your heart..." "You'll find Jesus there," the boy interrupted. The surgeon looked up, annoyed. "I'll cut your heart open," he continued, "to...
1 Reactions
0 Replies
781 Views
Wanajamii naombeni msaada. Baba yangu anakohoa mfululizo kikohozi kikavu, ameshaeenda hospitali akapewa mucolin ametumia amemaliza lakini bado tu. Akarudi tena hospitali akapewa dawa nyingine ya...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Inapunguza nguvu za kiume na mpaka kufikia nyoka kuwa nyoka wa kibisa (hana madhara). Kama ni kweli, naomba kufahamu madhara wapatayo wanawake.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanawake wengi hupata tatizo la kuumwa kwa kichwa wakati wa ujauzito. Hili tatizo huweza kutokea wakati wowote wa ujauzito lakini mara nyingi hutokea wakati wa trimester ya kwanza (miezi mitatu ya...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
doctors wetu hutwambia tufanye mazoezi ili tuwe na afya njema. Kwani kufanya mazoezi pia kunapunguza uwezekano wa kupata baadh ya maradh...kama kisukari, moyo na mengneyo.. JF Doctors...kivipi...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Viungo Vinavyosafisha Mwili (kiingereza Excretory Organs) ni viungo katika mwili wa binadamu ambavyo vinahusika katika utoaji wa taka mwilini. Binadamu kama viumbe haiwengine wanahitaji kutoa...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
baadhi ya wakati tunapokula baadhi ya mboga huwa zimechanganyika na mchanga/udongo..hivi ni yepi madhara ya kula huu mchanga katika miili yetu??
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Urinary bladder 1. Human urinary system: 2. Kidney, 3. Renal pelvis, 4. Ureter,5. Urinary bladder, 6. Urethra. (Left side with frontal section) 7. Adrenal gland Vessels: 8. Renal artery and...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nimedhamiria kuchangia damu kwa hiari kadiri ya uwezo nitakaojaliwa na Mungu. Nimechangia damu kwa hiari takribani mara nane tangu mwaka 2008. Mara ya kwanza ilikuwa Tegeta High School CTegeta...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau nina mtoto wangu mdogo mwenye umri wa miaka 4 wakati huo mama yake ana ujauzito wa miezi 7 kama cku 7 zilizopita dogo aliaonyesha dalili za kuugua nikampeleka hospitali akakutwa na Maralia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mtoto mdogo mwenye umri wa miez 5 amefanyiwa tohara kwa kutolewa ngozi yote ya juu ya uume wake wenye labda inch 1 na kushonywa kwa chini kabisa,Je hivyo ndivyo jins watoto wanavyotahiriwa,Na ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni tabu kuamini lakini haya ndio wanayofanyiwa baadhi ya wanawake wanaoenda kutoa Mimba kwa madaktari. Madhara yake ni kujikuta wametoa mimba salama lakini wanaishia kuambukizwa UKIMWI na hatimaye...
1 Reactions
10 Replies
9K Views
habari wana jf. naomba msaada kwa wanaojua aina ya viambata hatarishi kwenye vipodozi. kama yupo anaezifahamu naomba aviweke hapa kwa manufaa yetu wote. nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari zenu wana jf doctor,samahani naomba nieleweshwe kuhusu kisukari,unco wangu amekipata takriban miaka mi8 saiv ila anakunywa sana pombe,lakni hatumii dawa sana mfano kuchoma insulin...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam wanabodi. Kwa wiki kama ya tatu sasa nimekuwa nahisi maumivu mara kwa mara kama vile kitu kimenichoma katika mguu wa kulia upande wa kulia wa mguu huo kwa chini.maumivu hayo yanapoanza...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom