Naomba msaada wa tiba na kinga juu ya tatizo hili,huwa tezi zinaniuma na kiuno maeneo ya nyuma na karibu na tezi. Umri wangu ni miaka 24, jinsia ni ME...huwa si'sex mara kwa mara lakini nipo...
jamani naomba msaada wa kutatuliwa hili tatizo langu'mm wakati wa kujaribu kufany mapenz lakin baadae nikaghair kufanya mbon kweny koro naumia naomba msaada.
Zimekuwa zikitumika njia nyingi sana nzito za kupunguza unene, uzito ambapo watu wengi huona ni shida sana. Furahia hii njia nzuri kwa afya yako.
MAGILIM
Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina...
1 ) The Woman Who has 200 Orgasms every day
UK's Sarah Carmen, 24, is a 200-a-day orgasm girl who gets good, good, GOOD vibrations from almost anything. She suffers from Permanent Sexual...
Amani kwenu wana jamii Forums.
Nimeona vijana wamejichora mwilini(tatoo.)Nauliza je,zinazochorwa kwa Mashine au sindano katika mwili Zinaweza kufutika tena na kutumia dawa au kitu gani.
kweli siku ya leo ni ya muhimu sana na hakika sote twatakiwa kujitathmin na hasa kuwakumbuka wenzetu waliokufa kwa maradhi haya.
me swali langu ni kuwa je kuhusu hivi vipimo vyetu je ni kweli...
28/11/012
WATOTO saba wamenusurika kuuawa kwenye hospitali ya wilaya ya Chato mkoani Geita baada ya mhudumu wa afya Maliagoreth Kyaruzi kuwanyofolea maji yenye dawa (drip) wagonjwa waliolazwa...
habar wana jf. Mi binti mwenye miaka 21 ila nina uzito wa kilo 92 nimejaribu njia kadhaa wa kadhaa ili kupunguza huu mwili,ila matokeo yake nimeishia kupata ulcers. Kuna kanishauri nitumie...
Wana jamii naomba kupata ushauri vidole vya migguni na mikononi vinauma, pia vinakuwa kama vinalegea hivi ni ugonjwa gani naomba kupata ushauri kabla sijaenda hospitali kwa anayejua tafadhari
najua mmeangaika sana kupata hii dawa,nawaletea dawa itakayorudisha heshima yako nyumbani hii inatibu tatizo moja kwa moja ni dawa ya miti shamba dozi yake full ni sh. elfu 20 unapona kabisa.dawa...
World Aids Day December 1
Background
World AIDS Day is celebrated around the world on December 1st each year. It has become one of the most recognized international health days and a key...
We all feel stressed from time to time; it's part of
being human. And we certainly feel frustrated.
But as common as these feelings are, there are simple
things we can do to ease them, even...
wakuu, nishang'oma meno mawili hapo kabla na hvi leo mengine mawili tena yameanza kuuma
naombeni kama kuna mtu anafahamu mwenye dawa ya kutibu meno bila kung'oa anisaidie mawasiliano yake
Habarini za asubuhi.
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikipungua uzito na kukonda ila sio sana kwani mimi binafsi sioni kama nimepungua sana . Nguo nilizokuwa navaa mwaja juzi na mwaka jana bado...
The Swiss government has been aware of the dangers of eating white bread for decades and in order to get i ts populace to stop eating it, Switzerland has placed a tax on the purchase of white...
Ni wazi kuwa hili tatizo ni kubwa kuliko tunavyolichukulia, hii inasababisha thread za hili
Kuwa nyingi. Si hapa Jf tu, tafuta kwenye Blog mbalimbali utagundua ukubwa wa
matatizo haya.
Binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.