PIA UHARIBU MIMBA, HUATHIRI NGUVU ZA KIUME NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU
MIONZI ya simu za mkononi inaweza kuathiri maendeleo ya ubongo wa watoto walioko tumboni mwa mama zao, utafiti...
Jamani naombeni ushauri na mawazo. Tatizo langu naweza nika maliza siku 2 bila ya kwenda haja kubwa, cha ajabu naweza nikawa najisikia kabisa kwenda kujisaidi lakini nikifika msalani naishia...
Habari wana jamii,naomba ushauri kuhusu maumivu makali ya kichwa upande wa kushoto baada ya kujifungua kawaida.Dr alisema ni kawaida kuumwa kichwa kwa mama anyonyeshaye ila naona yanaongezeka...
jamani mi natafuta mwanasaikologia wa kunisaidia kuondokana na woga kwani nina tatizo hilo hadi nashindwa kabisa kuongea mbele ya watu,,,,hivyo nimeshauriwa na rafiki zangu nitafute...
Kama kichwa cha habari kijielezavyo, mimi nimekuwa nikinyolea madawa hasa vitt, baada ya nyembe za aina zote na mashine za kunyolea kuwa zinanitoa mapele maeneo nyeti.
Tena mapele yenyewe yalikuwa...
Wakuu mwenzenu kuna jambo lime niweka njia panda kwahiyo naitaji msaada wa kitaalam zaid. Hii yaweza fika mwezi wa pili cja muingilia mkewangu tatizo likiwani kuharibika kwa mimba mimba hiyo...
Hello people...
Anybody knows a good gyno or a dermitologist for treatment please let know of the were abouts and contact if possible.
Will appriciate for that...
Assalaamu alekhumu wadau wote jukwaani, mwenzenu nna kituo flan uku kijijin sasa napata sana shida juu mabinti wadogo kwa wakubwa kuota ndevu mapka sasa nachanganyikiwa na kituo changu uku kiana...
Wana JF,
Tarehe 1 Desemba kila mwaka ni siku ya Ukimwi Duniani na Tanzania tunaungana na dunia kusheherekea siku hiyo. Kauli mbiu ya mwaka huu ilikuwa ni pamoja na kupunguza vifo, maambukizi mapya...
Wana JF naomba msaada wenu nifanyenini? Ndugu yangu miaka 27 (male) anatumia Bangi na Unga(heroin au cocaine). kama familia tumejitahidi sana kumsaidia naona tunashindwa, sasa amefikia hatua ya...
Jamani naombeni ushauri na mawazo. Tatizo langu naweza nika maliza siku 2 bila ya kwenda haja kubwa, cha ajabu naweza nikawa najisikia kabisa kwenda kujisaidi lakini nikifika msalani naishia...
Wakuu naomba kujua mtu mnene atajauaje kama ana hernia kwa vile uvimbe hauonekani kutokana na belly fat.....je ni kipimo gani mtu anaweza kupima akajua kuwa ana hernia.....
DNA: mkemia mkuu' kasema kuwa asilimia 44 ya waliopima vinasaba kwa ajili ya kujua uhalali wa watoto kwa baba, wamethibitishiwa kuwa watoto hao sio wao. My take: kwahiyo nusu ya watoto wa...
Za asubuh jamani,mimi ni mvulana ambaye nina girlfrnd,tunapendana na kuaminiana na tumeshaduu kama mara 10 hivi.
Ila siku hiz za karibuni nilikua nikiduu naye sehem zangu za siri zinaniuma sana...
Tianjie Dental Falcon(a dental hand-held X-ray machine) ina madhara makubwa kwa watalaamu wa meno, pia na kwa wagonjwa wa meno waitumiapo. Kuna hatari kubwa ya kupata kansa na kusababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.