Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Salute kwa wanajamvi wote! Ktk dunia ya sasa ya sayansi na teknolojia kuna mambo mengi yanafanyika, mengine ya kushangaza. Kuna hili la kubadili jinsia, naomba tuwekeane sawa hasa kwa wenye...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Toka jana jioni nahisi maumivu kwenye Dudu yangu...nikiwa nakojoa nahisi maumivu japo sio makali sana. Nahisi huenda itakua ni U.T.I (urine infection disease), naomba kama kuna mtu amewahi patwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
-Tumbo linaunguruma kwa mbali -Mkojo wa njano iliyopitiliza, hata gizani rangi inaonekana hata ukinywa maji mengi -Miguu inavimba hasa mchana na jioni kwenye misuli ya chini ya magoti na enka kwa...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Thousands of young people put vision at risk by straining their eyes and forgetting to visit the opticians. Eyesight is our most valued sense, beating smell, touch taste and hearing in a recent...
1 Reactions
0 Replies
742 Views
Angalia website zifuatazo na kwa habari zaidi wasiliana na Joel Samson Ruvugo kwa simu ifuatayo www.revivotea.com and www.revivocapsules.com pia tembelea website ifuatayo kama wataka funding...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Je eye clinics gani za bongo wanatoa hizo badala ya specs? Pia zina madhara au kero gani kwa mvaaji?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
KUTOPATA HEDHI KWA WANAWAKE Vichangizi vya mwenedo mbaya wa maisha (lifestyle factors) ya kila siku kwa wanawake, huchangia wanawake kuacha kupata hedhi, hii ni kutokana na utafiti uliofanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAJI HUKINGA NA KUPONYA SHINIKIZO LA DAMU (BP): Shinikizo la damu (hasa la juu) ni kiashiria cha mwili kupungukiwa maji kwa kiwango kikubwa, ni wakati ambapo mwili unajaribu...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
HABARI ZENU naombeni kujuzwa dawa ya ugonjwa wa kisukari tafadhali naombeni msaada wenu
0 Reactions
1 Replies
730 Views
Siku ya 1 mtalimbo ulipita bila pingamizi,anadai hajawai lala na mwanaume,hii inawezekana?
0 Reactions
75 Replies
12K Views
Jamani akina Dada, mama, na wengineo ambao wamekuwa wakisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya chunusi, vipele viipele kuzunguka macho, ngozi kuwa kavu au yenye mafuta mengi na matatizo mengi...
0 Reactions
5 Replies
39K Views
Jamani, hivi wameishia wapi wale madaktari wawili wa kimarekani ambao ilikuwa inasemekana wamegundua dawa ya ukimwi? Mbona jambo lenyewe limezimika gafla kama kibatari kilichoishiwa mafuta? Ni...
2 Reactions
26 Replies
12K Views
BABARI! napenda kuchukua nafasi hii kubadilihsana nanyi kidogu mawazo. afya ni kitu cha msingi sana kwa mwanadamu awayeyote kwan hata kama una mali nyingi kama afya inamgogoro uthamani wa mali...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Angalia afya yako hapa bure: http://symptoms.webmd.com/#./introView NOTE: This tool does not provide medical advice It is intended for informational purposes only. It is not a substitute for...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
REVIVE Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko. KAZI YA...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
wadau mm nna miaka 30. leo kwa mara ya kwanza nimetolewa jino moja, lilikua lishaoza. hili jino lilikua linaniuma muda mrefu nyuma. Lakini kwa ujinga wangu nikawa napuuzia kwenda kwa dentist...
0 Reactions
8 Replies
11K Views
Eti wakubwa, hapa tz, hv vipimo vyetu vya hospital vinaweza kuonyesha kuwa umeambukizwa baada ya siku ngapi baada ya tendo?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
TAFITI za kisayansi zimebaini kuwa nguo za ndani hasa zinazobana kwa wanaume na zile za aina ya nailoni (nylon) zinaathiri uwezo wa mbegu za kiume, hivyo kushindwa kutunga mimba. Utafiti huo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Upset Stomach is a common but non specific stomach ailment that is mostly caused due to irregular or wrong eating habits. In addition, food allergies tend to give rise to constant or chronic Upset...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JF Doctors, mafuta ya alizeti yana umuhimu gani katika afya ya binadamu(kwa kujipaka)??
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Back
Top Bottom