MARADHI YANAYOTIBU HABBA SODA
Matumizi Ya Kunufaisha Ya Habbat Sawdaa-1 (haba Soda Chembe Nyeusi
Imefasiriwa na Iliyasa bint Maulaanah
Al-Bukhaariy anasimulia kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhiya...
Kuna dada yangu yupo katika ndoa kwa miaka nane sasa hajabahatika kupata mtoto. Amehangaika kwenye mahospitali mengi na mpaka alishafanyiwa operation ya mirija kwani walisema mirija yake imeziba...
Wadau wangu na wataalamu kiukweli jukwaaani hapa pamekuwa mahali kwangu pa msaada kwa muda mrefu sana kwa\ baadhi ya mambo ninayojionea humu, leo wakuu nimekuja na jambo la ndevu kwa wadada na...
Habari za asubuhi waungwana, nina mdogo wangu ana makovu mawili makubwa kwenye miguu yaan kila mguu una kovu, yeye aliwahi kuumia udogoni sasa makovu ni makubwa afu yana nature kama karatasi vile...
msaada wadau mwanangu ana mwaka na miez miwili ,ameanguka kutoka kwenye kiti hadi chini akaangukia meno mawili ya juu mbele na yanatingishika japo ni kidogo sio sana na damu imetoka nying...
Unapata uchovu wa hali ya juu asubuhi unapoamka mpaka unatetemeka.
Lakini ukipata kifungua kinywa uchovu unapotea. pia ukichelewa kupata mlo wa mchana unaapata njaa kali mpaka unatetemeka...
Mimi naomba nieleweshwe kama mschana/mke anaweza akawa na tatizo la upungufu wa nguvu/hamu ya kufanya tendo.sababu kama zipo,na solutions if pocbo.ni hayo.doctor plz...
Haijathibitishwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania. Lakini ni bora kujaribu maana haikugharimu sana. Kwasababu licha ya kuwa ni tiba lakini pia ni lishe.
Miracle Drink : Carrot, Beet...
We never thought we could get HIV. We were wrong: These eight heterosexual British women show how pervasive HIV has become, but it's no longer a death sentence
Rachel Dilly, 48, contracted HIV...
Wakubwa heshimayenu na vijana wenzangu habari zenu. nduguzanguni nimekuwa na mahusiano na binti flani sasa huyu binti anamekuwa na mahanjumati ya kisasa na sisi tulizaliwa wakati wa juliasi...
Wadau naombeni msaada wenu wa kiushari na kitabibu pia,
Nina mwanangu anasumbuliwa sana na kifua muda mrefu,ni mtoto wa miaka miwili,leo nimempeleka kwa speacilist amempima na ametoa majibu kua...
Heshima mbele wakuu.
Ninafanya mazoezin kila sikun asubuhi si unajua afya na pumzi kwa ajili ya mambo yetu yale, Unaweza ukaishia Chalize maake hiyo spidii yake usipime.
Sasa basi magoti yanakuwa...
habari wana jukwaa la afya ,,,,nilitaka kujua kwa uthibitisho wa kisayansi na sio mambo ya hewani,,,kama kunywa maji ya baridi wakati wa joto inasaidia kupunguza joto la mwili/inapoza au kunywa...
Madaktari nahitaji msaada wenu jamani,
Leo kuanzia saa tatu kamili asubuhi hii ninatakiwa niongoze kikao flani ambacho kitatupeleka mpaka saa saba bila kupumzika.
Sasa kimeibuka kituko cha...
habari zenu wanajamii! nina ujauzito wa miezi 9 sasa lakn nina tatizo la kulala usingizi mzito kila wakati!kadri cku znavyoendelea huwa nazidi kulala sana! asubuhi nikishaamka nakunywa chai nzuri...
Ni wazi maendeleo yanaambatana na vitu vingi, nimeweza kuepuka masterB (kujichua) kwakua nimejua madhara yake. ila naomba mnijuze nini madhara ya kunyonya vagina/penis. na mke wangu atapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.