wakuu heshima yenu
Binafsi napenda sana kunya maziwa ya ng'ombe freshi...kila siku nakunywa vikombe viwili kama robo lita hivi vya maziwa mara mbili yaani asubuhi na jioni,nimekuwa na tabia ya...
Wakuu hebu tuchangie hii dhana ya baadhi ya watu ambao husema na kuamini ya kuwa ati kuku wa kienyeji ana sumu hasa akikudonoa na kuweka jeraha basi lazima utakufa kama hujatibiwa kwa maana ya...
Kwa wale wanaotumia na kupanga kutumia baadhi ya dawa za kichina soma hapa chini;
Chinese Medical System Goes Cannibalistic
Infowars.com
Dec 22, 2012
A South Korean SBS TV...
Maradhi ya Alzheimer
Tatizo la kukosa usingizi huenda likawa ishara ya kutambua mapema maradhi ya kusahau au ''Alzheimer'' kwa mujibu wa utafiti uliofanywa kwa kutumia panya ambaye ana maumbile...
Saratani ya watoto Uganda
Kuna visa vingi vya saratani barani Afrika vinavyosababishwa na maradhi mengine. Hiyo ndio habari mbaya. Lakini habari njema ni kuwa zinaweza kuzuiwa kwa kutumia...
Uvutaji sigara ni hatari kwa ubongo kulingana na wanasayansi nchini Uingereza
Kuvuta sigara "kunaozesha" ubongo kwa kuathiri vibaya kumbukumbu, uelewa wakati wa masomo na uwezo wa kushauriana...
Profesa Sir John Burn wa Chuo kikuu cha Newcastle
WATAALAMU wa tiba wameshauri kua watu ambao afya yao inakabiliwa na uwezekano wa kukumbwa na saratani ya kibofu, wapewe dozi ya aspirini.
Jarida...
Jamani tafadhali msije mkadhani ninaleta mada ya kitoto BUT ni kitu kimenisumbua kidogo......niliwahi kusikia dada zangu wakisema kwamba ukiwa unaanza matiti yale madogo (saa sita?) ni vyema...
hallow everybody... Am asking where can I get contact lens. Am tired of wearing spects and I can't live without one. If you will help me with the estimated price I'll be grateful. Thanks
One theory about longevity is that males have bigger bodies in order to win out in the race for breeding opportunities.
Genes in sperm may determine why female mammals live longer than males...
Mama yangu anasumbuliwa na ini(liver), limevimba na ukimuona amekonda sana, mwezi 11 alifanyiwa uchunguzi bugando mwanza na akaambiwa kibofu cha mkojo(galbladder) kina michanga ndani, alifanyiwa...
A study of seven terminally ill patients found identical surges in brain activity moments before death, providing what may be physiological evidence of "out of body" experiences.
A study of...
Habari wa kuu naomba kuuliza na kama mtu anajua dawa ya haya maumivu ya kuanzia mabegan kwa nyuma na kwa ndani anisaidie mana panauma sana na nimejaribu dawa kama omoprazole lakini hakuna mana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.