Natumai wote muwazima kwangu salama kabisa ila kuna jambo nimepata na nimeona kunahaja ya kubadilishana mawazo na kusaidia vijana wenzetu. Tatizo nikwamba mtu anaweza kuwa anafanya mapenzi vizuri...
Habari wana jf. Kwanza naomba niwatakie Heri ya X-Mass wote. Shida yangu ni moja tu. Nimeoa hivi karibuni na Mke wangu kwa bahati nzuri hv karibuni amefanikiwa kuwa pregnant. Sasa tatizo...
Habari wana JF,Nina dada yangu ambaye ni mjamzito na mimba yake ina miezi 11,lakini cha ajabu yuko fiti kabisa na hana dalili zozote za kusikia uchungu, tumeenda hospitalini Madaktari wakaona...
Watermelon: A Natural*Viagra
A cold slice of watermelon has long been a Fourth of July holiday staple. But according to recent studies, the juicy fruit may be better suited for Valentines Day...
Ninaomba ushauri.
Jana nimefuatwa na anko wangu(48 yrs) kwa ushauri wa kuokoa ndoa yake. Ameoa na watoto 4.Kila anapopata hamu ya tendo la ndoa uume wake husimama, lakini anapokua katika romance...
Vaginal Discharge What is vaginal discharge? Vaginal discharge is a clear or whitish fluid that comes out of the vagina. The uterus, cervix, or vagina can produce the...
Ikiwa mtu anavirusi rangu ya kifaa inabadilika kuwa buluu na ikiwa hana rangi unakuwa nyekundu
Aina mpya mbinu ya kuchunguza na kuona hata viwango vya chini vya virusi na hata aina ya saratani...
Hodi hapa ndani kwenu madakitali napenda nieleweshye kama mwanamke aliye wahi kufanyiwa upasuaji na kuondolewa milja yake yote miwili anaweza akapata siku zake kama kwaida.Naomba mnijuze tafadhali.
Heshima mbele wakuu, kwa siku kama 4 sasa, nimekuwa nasumbuliwa na Tatizo hili la macho,
ni kwamba, Mie (au niseme macho yangu) huwa ni maoga sana kwenye mwanga mkali na hasahasa wa JUa la hapa...
Nina mtoto wa kiume ana miaka miwili na nusu sasa, anatatizo la cerebral palsy au Autism, (kwa muonekano wa haraka haraka haonyeshi kama ana tatizo hilo) Mpaka sasa hajaweza kusimama au kutembea...
Habari zenu wadau, nina imani mnaendela vizuri na msimu huu wa sikukuu za xmas na mwaka mpya wa 2013.
kama kichwa na cha habari kinavyosema hapo juu naombeni msaada kwa wenye ujuzi hasa doctors...
Habari wanafamilia,
Kumekua Kukitokea Tatizo Ambalo Linasababishwaa Na Unyawaji Wa Haya Madawa Ya Antibiotics(nikimaanisha kitu kama Allergy)
Ambapo Mtumiaji Wa Antibiotics Anakua Anapata...
Jamani nimekutana na hii kitu mitaani wakati nagonga castle lite yangu ya baridddddddiiiiii kitaaa baada ya kutoka kupambana na majukumu ya kujenga taifa. kijana mmoja nilikuwa nimekaa nae meza...
Kirusi cha HIV
"Kuna densi kati ya virusi na kinga ya mwili'' anasema Daktari Angela obasi kutoka taasisi ya utafiti wa matibabu nchini Uingereza.
"Wakati tunapopata uelewa zaidi kuhusu virusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.