Habari wadau
Naomba msaada wa ushauri,nina mtoto wa mwaka mmoja na nusu,tangu jana ameanza kutoka majipu sehemu mbalimbali mwilini,hivi nini chanzo cha majipu,na kuna dawa ya kuyaondoa pasipo...
Dada yangu amemaliza masomo yake ya udaktari wa binadamu mwezi huu,nchi moja ya Ulaya.Kuna nchi nyingine amepata nafasi ya kufanya internship lakini mwenyewe amesema,anapenda zaidi kuja kufanya...
Wanajf doctors, nina rafiki yangu ana ugonjwa ambao nyakati za usku akiwa amelala! Anakoroma kwa nguvu huku anapikicha sikio na pua,alafu ukimstua anastuka na ukimuuliza anakuwa hajui kilichokuwa...
Habari za jioni waungwana. Rejea kichwa cha habari . Nasumbuliwa sana sana na ugonjwa huu. Niliupata miaka 4 iliyopita nikivyoenda kunyoa kwenye kwa kinyozi. Nimetumia dawa kama amolg skin...
Naomba msaada wa matibabu kwani ilianza maumivu ya kifua na nilishawahii kutumia antibiotics capsules za aina tofauti bila mafanikio, kuna wakati makohozi yalikuwa na chembechembe nyeusi, suviti...
Mwili unapokosa kinga imara, huwa katika hatari ya kushambuliwa na kila aina ya magonjwa. Katika orodha hiyo ya magonjwa, yamo pia yale ya kutokwa na uvimbe yakiwemo majipu. Kitaalamu magonjwa...
The invisible germ warfare being waged in your home
How even 'clean' places are breeding grounds for harmful bacteria
When it is visible, we are quick to wipe, wash and sluice it away. But the...
If you use a computer more than two hours a day, you could be suffering from Computer Vision Syndrome (CVS).
A CBS News Medical Correspondent Dr. Jennifer Ashton explained CVS is associated...
Kidney Stones & Treatment‏
Kinds of stones:
Calcium stone:
A common type of kidney stone is calcium stone and generally it is found in people of 20 30 years. It is made up of...
LEO napenda kuchukua fursa hii kueleza kwa mapana na marefu suala la vyakula na namna ambavyo vimekuwa chanzo kikuu cha maradhi sugu yanayotukabili leo, ambayo mengi mwisho husababisha vifo...
Amani iwe kwenu wana jf.Mtoto wangu ana miaka 13 .Anasumbuliwa na kifua inatokea kinambana sana na kumletea homa kali.Ikitokea hivyo anachomwa sindano kifua kinamwachia.Daktar anadai ni dalili ya...
Bottled water not so healthy
(IANS) / 3 January 2013
Though health-conscious fitness enthusiasts are never seen without bottled water, and it is subject to less stringent safety tests than tap...
Ni topic Moja Ndefu Nitajitahidi kuifupisha na kuiweka wazi ili kili mtu apate kuelewa -
what is it ..?
Arthritis is inflammation (kuvimba) of one or more joints, which results in pain...
Heri ya mwaka mpya. naomba kujuzwa ni dawa gani/mimea ya asili naweza tumia kutibu meno yangu yanayouma? meno hayajatoboka ila yanauma kwa ndani. msaada plz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.